Mwezi wa pili sasa nipo kwenye English course

Mzee wa kurekebisha

Senior Member
Sep 29, 2012
178
169
JF Naipenda sana ndio maana nimeamua kuanza Eng. Cz, maana mara utasikia umeme wa Stigliers, FOREX n.k watu wanachanganya Lugha humu ndani si Mchezo hii ishu ya FOREX ndo imenipa hasira zaidi.
Mpaka leo hakuna nilichoelewa nikifungua google ni kiingereza tu nasikia watu wanapata pesa huko.

Kile kingereza nilichofundishwa na mwalimu MKILANYA hakijaweza kunisaidia kabisa.
Now I'M comming and I'M going to be better in any discussion.
 
Ha ha ha ha Mkuu ungetolea mfano kitu kingine hiyo Forex sijui nini utajaza watu wenye hasira kwenye Thread.
 
Kusema kweli Jf inaboa kwa sisi tusiosoma...
unakuta mtu anaandika mara kaupachika mneno wa kingereza katikati ya sentensi.... na lile neno ndio lenye maana yote ,afu gumu kishenzi.....

basi unajikuta una enda kwenye majukwaa ambayo hata hukuyatarajia kisa Lugha...

Ndugu zetu kama mnaongea english ongeeni moja kwa moja tusijue kabisa ,au basi pachikeni maneno marahisi kama Now,Go,come,in Hayo hata tusiosoma wa kitaani tunayajua ,afadhali kidogo tutawaelewa Wakuu...

wako katika ujenzi wa Jf
 
ok tumekuelewaling mkuu isnt you!!!

hahahahahah no problem wala matatizo tutabadilika
 
Kusema kweli Jf inaboa kwa sisi tusiosoma...
unakuta mtu anaandika mara kaupachika mneno wa kingereza katikati ya sentensi.... na lile neno ndio lenye maana yote ,afu gumu kishenzi.....

basi unajikuta una enda kwenye majukwaa ambayo hata hukuyatarajia kisa Lugha...

Ndugu zetu kama mnaongea english ongeeni moja kwa moja tusijue kabisa ,au basi pachikeni maneno marahisi kama Now,Go,come,in Hayo hata tusiosoma wa kitaani tunayajua ,afadhali kidogo tutawaelewa Wakuu...

wako katika ujenzi wa Jf
hahahaa! yaani sie wengine mpaka twende kwa jilani kutafuta kamusi
 
Kusema kweli Jf inaboa kwa sisi tusiosoma...
unakuta mtu anaandika mara kaupachika mneno wa kingereza katikati ya sentensi.... na lile neno ndio lenye maana yote ,afu gumu kishenzi.....

basi unajikuta una enda kwenye majukwaa ambayo hata hukuyatarajia kisa Lugha...

Ndugu zetu kama mnaongea english ongeeni moja kwa moja tusijue kabisa ,au basi pachikeni maneno marahisi kama Now,Go,come,in Hayo hata tusiosoma wa kitaani tunayajua ,afadhali kidogo tutawaelewa Wakuu...

wako katika ujenzi wa Jf

Hata mkuu wa nchi anachanganya lugha, kwahiyo tuvumiliane tu.
 
Yani kunisomesha anisomeshe mwingine alafu mtu mwingine aniandikie kingereza koko chake.

Anyway may you members use swahili language when posting some staffs so that we may all understand

Thanks Sincerely
 
Kusema kweli Jf inaboa kwa sisi tusiosoma...
unakuta mtu anaandika mara kaupachika mneno wa kingereza katikati ya sentensi.... na lile neno ndio lenye maana yote ,afu gumu kishenzi.....

basi unajikuta una enda kwenye majukwaa ambayo hata hukuyatarajia kisa Lugha...

Ndugu zetu kama mnaongea english ongeeni moja kwa moja tusijue kabisa ,au basi pachikeni maneno marahisi kama Now,Go,come,in Hayo hata tusiosoma wa kitaani tunayajua ,afadhali kidogo tutawaelewa Wakuu...

wako katika ujenzi wa Jf
Uzuri wa kingereza neno moja tu linaweza kumeza maneno yote uliyo yaandika hapo...
 
English course si kwa ambae hajaenda shule tu. Nenda British council uone graduates kibao wanapigwa msasa wa lugha
 
Let's begin a dicsussion here
Also I wonder why don't you write your thread in English language if you are well committed to know this language?
 
I am waiting strong Discussion especially political issues and Forex gambling.
Dah Mkuu miezi miwili tu!! Kweli inatosha kuingia kwenye mijadala inayoendeshwa kwa
Lugha ya Malkia? Wenzio tumekaa miaka lakini tunaelewa tu hatuwezi kujibu labda kwa
lugha hiyo.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom