Stand ya mkoa Dar es Salaam pale Mbezi Luis uliishia wapi?

Stand ya mkoa Dar es Salaam pale Mbezi Luis uliishia wapi?

Avictown

Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
98
Reaction score
56
Naomba kuuliza kuhusu ujenzi Wa stand ya mkoa pale mbezi Luis uliishia wapi? Mipango yooote ilikuwa ni bure? Naomba wahusika ambao ni jiji waje hapa watwambie.
 
Stand inatakiwa iwepo sehemu yenye miundo mbinu ya reli na usafiri wa barabara! Ubungo ndio panafaa kwa nini tunajihangaisha!? Mheshimiwa rais anabomoa wavamizi WA barabara sasa hayo mabasi Si yatapita!? Ubungo ndio center
 
Angalia foleni ya kutoka ubungo hadi Mbezi two hours! Mabasi yote yataacha wasafiri!? And by the way kule ni milimani Hakuna uwezekano reli kufika! Hivyo plan ya baadae itakwama
 
Angalia foleni ya kutoka ubungo hadi Mbezi two hours! Mabasi yote yataacha wasafiri!? And by the way kule ni milimani Hakuna uwezekano reli kufika! Hivyo plan ya baadae itakwama
Umeongea kwa kujipangia au unaijua mipango ya jiji? Mbona walisema wanajenga pale na bajeti ya 2017/2018 jiji walitenga 1b kwa ajili ya kuanza ujenzi lakini kimya?
 
Umeongea kwa kujipangia au unaijua mipango ya jiji? Mbona walisema wanajenga pale na bajeti ya 2017/2018 jiji walitenga 1b kwa ajili ya kuanza ujenzi lakini kimya?
ndugu bado Unadhan tuna mpango wowote au Mapendekezo ya kisiasa!?
 
Back
Top Bottom