Mubashara!Aseee leo 9 Dec nimeishuhudia hii live hapa Jamuhuri Dodoma[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Leo hawajavunja matofali bhana. Wameboresha kidogo na helicopter.Leo wale wa kuvuta magari hawakuwepo? Nilikuwa segerea nafatilia uhamisho wa mfungwa wangu.
Sio bongo hio hauoni pameandikwa SWATAisee!! Vijana wako vizuri, hongera sana vijana wetu