Dah Sing me back home sijui huu wimbo ulinipitaje

Dah Sing me back home sijui huu wimbo ulinipitaje

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,300
Reaction score
47,333
Habari za weekend

Mimi ni shabiki mkubwa wa the gentle giant siamini kabisa hiki kibao chake Cha hatarii kilinipita hivihivi. Yani Hadi Jana ndio nimekifaham. Alishajitabiria atakufa kwenye huu wimbo. Aliuimba Mara ya kwanza 2014.

Kwa kifupi huyu Mzee Ni mshezy.

Sing me back home

A masterpiece from the master himself!

Don

 
Sing me back home with a song I used to hear
Make my old memories come alive
Take me away and turn back the years
Sing Me Back Home before I die
 
Humu watu wanahitaji singeli tu .mambo ya maana jf sikuhizi hutayapata
 
Dah...sasa mkuu unafahamu nini kuhusu country musics? You seem to be very new in town. Usijali we will treat as a new boy in town.
Kuna chake kinaitwa Heart of hearts.

 
Dah...sasa mkuu unafahamu nini kuhusu country musics? You seem to be very new in town. Usijali we will treaty as a new boy in town.
Kuna chake kinaitwa Heart of hearts.


Kwa kweli huo sing me back home nami sikuwa nimeusikia.

I love country music aisee...

Make my old memories come alive
Take me away and turn back the years
Sing me back home before i die...

I recall last sunday morning
A choir from...

Unanikumbusha wimbo wa, "Give me that old time religion..."
 
Humu watu wanahitaji singeli tu .mambo ya maana jf sikuhizi hutayapata
wanahitaji mambo mbalimbali ikiwemo mavitu ya uhakika Kama iyo singeli niliyokuwekea Hapo juu. Acha nyodo ebu usikilize hiyo singeli.

IF YOU DISLIKE THIS MAN (DON) AM OFFICIALLY DECLARING HUMANITY IS DOOMED AND PHAKED UP!
 
wanahitaji mambo mbalimbali ikiwemo mavitu ya uhakika Kama iyo singeli niliyokuwekea Hapo juu. Acha nyodo ebu usikilize hiyo singeli.

IF YOU DISLIKE THIS MAN (DON) AM OFFICIALLY DECLARING HUMANITY IS DOOMED AND PHAKED UP!
Ha ha haaa
 
Sing me back home with a song I used to hear
Make my old memories come alive
Take me away and turn back the years
Sing Me Back Home before I die
Mkuu Copenhagen DN sikushauri umfuatilie na kumsikiliza sana Don Williams. Ukimsikiliza na kumfuatilia sana utaishia kuwa ma busara zisizo na mizani ya kupimia.
Utaishia kuishi miaka zaidi ya hamsini kwenye ndoa ukiwa na mke mmoja na watoto wawili tu, au utaishia kuishi miaka zaidi ya hamsini kwenye ndoa ukiwa mwaminifu kwa mke wako bila hata ya historia wala fununu za kuchepuka kwa miaka hiyo yote.
The Gentle Giant was real Gentle.
Don Williams, miaka kadhaa iliyopita alisema ana mpango wa ku resign from publuc life ma kweli aka resign from Public 2016. Dunia ilitambulishwa kuhusu kifo chako lakini hakuna taarifa yoyote ile ilitolewa inayomhusu iliyotolewa baada ya kifo chake ile tarehe 8 September, 2017.

Huyu ndiye Don Williams, nicknamed "The Gentle Giant," had a rich voice, gentle delivery and storytelling style. He toured sparingly, did few media interviews and spent much of his time on his farm west of Nashville.

Katika moja ya interviews aliulizwa kuhusu kipaji chake, naye akajubu "It's one of those blessings and curses kind of things," hapo alikua akifanyiwa mahojiano na shirika la The Associated Press mwaka 1994. Akaendelea, "If you have the talent, it's a blessing. But there's times that ... a lot of the prices that you have to pay to be a part of it is a curse. But as far as ... the way people have responded to what I've done, there's very few things in my life that I've done that come anywhere close to making you feel exhilarated and humbled and fulfilled and challenged and all that, all at the same time."

Msikilize Din Williams then achana naye, usimfuatilie, otherwise utaishia kuwa kama mimi au kama yeye katika mambo niliyoyataja pale juu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom