Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa mujibu wa mwanasheria mkuu, muswada wa fao la kujitoa unafikiriwa kuwasilishwa na iwapo hautowasiliishwa, basi wabunge wataamua juu ya hatima ya fao la kujitoa. Maelezo hayo ya mwanasheria...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Watz, ni watu wa matukio sana, Babu wa Loliondo alipovuma maprofesa na watu wenye elimu na akili zao timamu walipigwa ganzi kabisa na kumuamini kwa 100% na hata kuna mmoja ambaye hivi sasa ni...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Tanzania Daima, linaripoti kuwa, mapendekezo kuhusu fao la kujitoa kutua bungeni. Ukimsikiliza Mheshimiwa Mavunde katika maelezo yake kwa mbunge aliyetaka kufahamu juu ya fao la kujitoa ni...
3 Reactions
27 Replies
5K Views
SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), limeokoa kiasi cha Sh. bilioni 160 kwa kipindi cha mwaka mmoja kutokana na kudhibiti malipo hewa ya fao la kujitoa, imeelezwa. Mkurugenzi Mkuu wa...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Ukatili wa kijinsia ni ukatili wowote unaofanywa na mtu kumfanyia mtu mwingine bila kujali umri maumbile kabila rangi dini au mitazamo tofauti ya kisiasa au mingine. Lakini hii inaweza kuwa...
1 Reactions
0 Replies
7K Views
Wanajamvi ; mgawo wa umeme ulikuwa umekwisha lakini baada ya utafiti mdogo kila siku maeneo ya Temeke [; Umeme umekuwa wa mgawo. Jana na juzi umeme unakatika saa 2:58 usiku ; kurudi asubuhi...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Binafsi naomba tamko la mkuu wa nchii hii kuhusu hii mifuko ya hifadhi ya jamii maana sasa imekuwa ni taabu tupu. Mara ya kwanza NSSF mlikubali mwanachama anaweza kufungua madai ya kujitoa baada...
0 Reactions
38 Replies
9K Views
LAPF imewatoa hofu wanachama wake kuwa faomla kujitoa bado linatolewa na mfuko huo kisheria Meneja wa mafao wa mfuko huo Mkeyenge Ramadhani amesema ili kutoa kitu chochote ambacho kipo kisheria ni...
0 Reactions
24 Replies
7K Views
Wadau, Mimi nimefanya kazi miaka 12 nikaamua kuacha kazi nikiwa na biashara zangu ndogo ndogo nikajua kiasia nilichonacho NSSF around 60milioni ingeniwezesha kupanua biashara zangu na kwenda...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Hivi Kwa Nini TUCTA Hawazungumzii Fao La Kujitoa? Tangu uongozi mpya wa TUCTA chini ya akina Tumaini Nyamhokya uanze kazi, sijawahi kuusikia ukizugumzia fao la kujitoa, tofauti na uongozi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimetazama tangazo la pipi nadhani kama aikosei ambalo linamuonyesha Benpol akiwa kama msanii wa uchoraji anachora picha na wasichana wanapita njiani anawaita anawaambia "unaona" amekazana halafu...
0 Reactions
1 Replies
694 Views
Habari wakuu! Japo ni mtembeaji sijawahi ku apply Visa Ubalozini, ama nimeingia kwa free visa/entry permit kwa nchi za ki Africa, nje ya Africa nimekuwa nikitumiwa visa..... Kwa Wazoefu au...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mh kalisti lazaro Meya wa jiji la Arusha amefanikisha maonyesho ya kimataifa kwa makampuni yanayo fanya shughuli zake ndani ya jiji la Arusha mh Mgeni Rasmi Naibu waziri wa Mambo ya ndani Suzan...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau Huo ni ujumbe maalumu unaoelekezwa kwetu sote katika kampeni maalumu ya kupinga ukatili wa kijinsia. Kampeni hiyo itakuwa ya siku 16 kuanzia leo tarehe 25/12/2017 Kauli Mbiu: Funguka Karibuni.
0 Reactions
0 Replies
876 Views
Kwa tarifa rasmi zilizopo kutoka Clouds media.Fiesta itapigwa mpaka asubuhi na kibali kimetolewa toka magogoni.
12 Reactions
88 Replies
10K Views
Nimesikia leo kwenye kipindi cha Jahazi na Amplifier kwamba Fiesta itafanyika hadi asubuhi. Kibonde alisema 'asalam aleykum mh Magu kwa kauli mbiu hapa kazi tu' kwamba bandarini watu wanapiga kazi...
12 Reactions
50 Replies
5K Views
Bwana Misitu wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania, Mbarak Kajia auawa na kundi la watu wasiojulikana kwa kupigwa mawe alipokuwa akitekeleza majukumu yake wilayani Kilindi mkoani Tanga.
2 Reactions
12 Replies
4K Views
JESHI la polisi nchini limesema hadi sasa hakuna watu waliojitokeza kutambua au kulalamika kwamba wamepoteza ndugu zao kufuatia kuwapo kwa idadi kubwa ya miili inayookotwa maeneo mbalimbali...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…