Muhimu: Ukiniacha Nisome Itapendeza

Muhimu: Ukiniacha Nisome Itapendeza

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
1,605
Reaction score
1,958
Wadau
Huo ni ujumbe maalumu unaoelekezwa kwetu sote katika kampeni maalumu ya kupinga ukatili wa kijinsia. Kampeni hiyo itakuwa ya siku 16 kuanzia leo tarehe 25/12/2017
Kauli Mbiu: Funguka
Karibuni.
 
Back
Top Bottom