Jembe Jembe
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 757
- 1,822
Mh kalisti lazaro Meya wa jiji la Arusha amefanikisha maonyesho ya kimataifa kwa makampuni yanayo fanya shughuli zake ndani ya jiji la Arusha mh Mgeni Rasmi Naibu waziri wa Mambo ya ndani Suzan Kolimba azindua rasmi na kupongeza maonyesho Ayo