Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hivi karibuni kumekuwa na mwelekeo wa kutokea mgomo ukiwahusisha TABOA na wamiliki daladala Dar. Punde tukasikia naibu waziri kaingilia kati na kusimamisha yaliyokuwa sheria mpya zisizohusisha...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Sijui nilini Mungu atatusaidia tupate watendaji wabunifu,leo malori yanayosubiri kuvuka mpaka kwenda nje yatanganyika yamejipannga hadi kijiji cha Ihanda km 29,ivi zile hela tulizonunulia ndege...
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Naona kila mara yanapokuwepo matatizo, utasikia waziri husika amepinga kuwa taarifa flani ya uongo. Hii imejitokeza kuanzia sekta ya afya, maji, elimu, uchumi, ulinzi nakadhalika. Waziri wa...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wakuu , Jana nilikuwa kwenye daladala nikielekea posta, kwa pembeni yangu kulikuwepo na mzee mmoja ambaye alikuwa anaelekea ubongo terminal ,katika kupiga story za hapa na pale yule mzee...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Wakuu nawaza kitu hapa, Ni miezi kama mitano au minne tangu ndege yetu izuiliwe kuja kwetu kwa sababu za kisheria na madai. Nauliza tukiweka kibiashara hasara ya kutolipa na kuipata hiyo ndege...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
UPDATE 1-Tanzania suffers national power outage after technical fault-supply company By Fumbuka Ng‘wanakilala DAR ES SALAAM, Nov 30 (Reuters) - Tanzania was hit by a country-wide blackout early...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hii maada naipandisha kwa kero kubwa Hapa Mwanza suala la mabinti wa chuo cha SAUT kujiuza ilikuwa kawaida sana, mtu mgeni akija, akitaka manzi wa kupozeaa anaambiwa subiri watoto wa SAUT, hasa...
8 Reactions
44 Replies
21K Views
MAMLAKA YA UDHIBITI WA HUDUMA ZA NISHATI NA MAJI (EWURA) TAARIFA KWA UMMA TAARIFA zinazosambaa kuhusu ukosefu wa mafuta hapa nchini si za kweli na mwananchi wanaombwa kuziipuuza kabisa...
1 Reactions
4 Replies
903 Views
Kama kichwa kinavyo jieleza hivi tanesco kuna shida gani maana si kwa mgao huu wa umeme watu tumejiajiri kwenye viwanda vidogo lakini umeme Umekuwa shida watoto wanakufa njaa maana hakuna kazi...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Hi gt.Unashuhudia mtu anafanya sherehe kubwa inagharimu pesa nyingi eti ndoa kwisheni pati send pot Nenda Kwa wazazi wake wana shida nyumba inavuja mapanya yanapiga mpira dalini choo kimebomoka...
0 Reactions
1 Replies
756 Views
Imebidi niulize hili kwasababu awamu zilizopita tuliona maraisi wakitoa msaada wa vyakula kwa watoto yatima kwa maandalizi ya sikukuu mbalimbali.......Kama mh kasahau inabidi akumbushwe na...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
MGOMO mkubwa wa mabasi ya abiria umeitikisa nchi na kuilazimisha serikali kusitisha kwa muda amri yake ya kuwatoza asilimia tano wasafirishaji wanaozidisha uzito. Idadi kubwa ya mabasi ya abiria...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Katika hotuba ya kuapishwa raisi wa Kenya ameongelea swala la ushirikiano Africa Mashariki, kama ni mfuatiliaji wa mambo utagundua hii sio mara ya kwanza bali imekuja tu kwa namna tofauti kulikuwa...
27 Reactions
84 Replies
11K Views
Utasikia mtu anasema, CHADEMA ni chama cha mitandaoni, kwamba haki-reflect wanachama hai. Sasa mimi huwa najiuliza, kama CHADEMA ni chama cha mitandaoni, ina maana hao wa mitandaoni si Watanzania?
0 Reactions
9 Replies
966 Views
Kwa kweli mimi kuna kitu nimekitafakari sana lakini nikaona niwashirikishe na nyie. System ya maisha ya shule ni kama ifuatavyo, 1)Age of entry-5yrs 2)Nursery school - 2yrs 3)Primary school -...
4 Reactions
14 Replies
4K Views
Assalaam aalaykm ndugu zangu Hivi watu wanaolalamika sana maisha yao yamekua magumu katika awam ya tano!! 1) kama ulikua una deal na dawa zakulevia heroin, cocain, marijuana, lsd, hashish etc...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za asubuhi wakuu.Poleni na machovu ya usingizi wenye madhila kwa wale waliolala hali ya kuwa miili yenu ingali na maumivu.Pia hongera kwa kuamka salama kwa wale tulio amka pasi na matatizo...
1 Reactions
1 Replies
942 Views
AfDB (African Development Bank) imetoa 159.32 Million US Dollars (357 bn/=) kwa ajili ya utekelezaji wa awamu ya pili ya upanuzi wa Barabara Kilwa KM 19.3 na kipande cha Barabara ya Kawawa ajili...
4 Reactions
84 Replies
12K Views
Nionavyo mimi ili tume huru ya uchaguzi iwepo na ionekane huru kweli kweli basi lazima Iundwe kwa kufuata Utaratibu ufuatao: Moja kiongozi mkuu asichaguliwe na RAIS. Pili:viongozi au Wafanyakazi...
0 Reactions
4 Replies
856 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…