SAUT Mwanza mabinti wamevuka mipaka

wamisako

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
917
871
Hii maada naipandisha kwa kero kubwa

Hapa Mwanza suala la mabinti wa chuo cha SAUT kujiuza ilikuwa kawaida sana, mtu mgeni akija, akitaka manzi wa kupozeaa anaambiwa subiri watoto wa SAUT, hasa weekend, na wengi huenda kutega palee SAMAKI tauni ndipo hais za kutoka chuo zinapo tia nanga.

Sasa hivi imekuwa kufuru, mabinti wa SAUT wameota mbawa, wanaruka masafa marefu hadi Geita, ukiongea mkoa huu ujue kuna GGM Geita Gold Mine sasa hivi wameona soko zuri lipo uko sio Mwanza tena.

Demu akienda kule akirudi ana mtonyo sio chini ya millioni, na kumbuka kule mgodini fire ni njenje, Basha wake wa chuo anabaki kubet, mikeka nayo skuizi inachanika tu, boom likikata ndo balaaa hasa kipindi hiki njenje nenda kanitangaze ndo habari ya mjini. Kweli kadri unavyoongeza elimu na umalaya ndivyo unavyoongeka.
 
Last edited by a moderator:

Ndo hivo babue, tutue looh, huna mashiko kaa bench
 
Takwimu yako iko sawa lakini Mkuu maana hata hujaainisha ni kwa asilimia ngapi huo uovu unafanyika mpaka nje ya mkoa.
 
Hivi Nsia Swai alikuwaga anasoma chuo gani? Amekuwa maarufu sana kwenye mtandao yaani ukiwa unagoogle neno lolote linalo anzia na Ns...unaletewa jina kamili la Nsia Swai na picha zake

Aisee baada ya maneno yako haya nimeenda kuperuzi huko gugo nilichokiona kwa kweli ni majaribu mazito. Ukionana naye ni kukemea kwa kwenda mbele shetani asije akajiinua
 
Duuh hatar hutizami mara mbili
 
Back
Top Bottom