System ya maisha ya shule ni kama ifuatavyo

System ya maisha ya shule ni kama ifuatavyo

nkobhe255

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2017
Posts
234
Reaction score
292
Kwa kweli mimi kuna kitu nimekitafakari sana lakini nikaona niwashirikishe na nyie. System ya maisha ya shule ni kama ifuatavyo,

1)Age of entry-5yrs
2)Nursery school - 2yrs
3)Primary school - 7yrs
4)Secondary school (O-level) - 4yrs
5)Secondary school (A-Level) - 2yrs
6)University (e.g MD) - 5yrs.
7)Unemployment - 2yrs
8)Employment - after 2yrs

Total years of schooling + age of entry + unemployment time = 27yrs
Then,unaajiliwa ukiwa na 27yrs
Unafanya kazi miaka 33(60yrs age) unastafu.

9) Mshahara 700,000Tsh/=

Mathematics behind.
700,000 x 12 x 33 = 277,200,000 Tsh

Mshahara wa Neymer ni 35,000,000 Tsh kwa siku.

277,200,000 / 35,000,000 = 8 days.

HITIMISHO
1) Yaani na msoto wote wa msuli wa udaktari, especially MUHAZ Mshahara wako wa maisha yako yote Mwezio asiye zalisha chochote kile anaupata kwa siku 8 tu?
2) Je, ni haki kweli kuendelea kuwaaminisha watoto wetu eti Elimu ni ufunguo wa maisha?

3) Sasa ni mda wa wafanyakazi wote hasa kwetu Afrika kuacha kazi na kufanya mambo mengine, au waanzishe maandamano kudai stahiki zao.

4)Hapa kwetu bongo, wakuu wa vyama vyote vya wafanyakazi wamehongwa na wanashindwa kutetea maslahi ya wafanyakazi kinyume cha sheria.

5)Wafanyakazi nao wa umma wasivyo na akili naona wameshikiwa akili wakisubiri matamko ya viongozi wao.
 
Ngoja waje na bima zao hawatakuelewa sana sana utaambiwa hujasoma!!

kiukweli wafanyakazi wengi wa kibongo wana maisha ya hovyo sana!!
imagine unalipwa 450,000/= per month( kwa waajiriwa wa elimu za kawaida na vitengo vya kawaida ) humo humo ulipie pango, humo humo chakula, humo humo bili za maji& umeme, utume home,

hshahaaaaa!! bora kuwa mkulima wa mahindi huko Mpanda, au kuuza karanga
 
Kila mbuz hula kwa urefu wa ................;;;;
Fafanua ueleweke bro, huo ni unyonyaji ulioletwa na Ubepari wa kikoloni. Hivi kila mtu akiamua kufanya kazi yake tu, hivi serikali haiwezi kuwapigia magoti?
Wafawengi ni wanafki na ndo maana mtu akipata hela tu hawezi kuendelea kufanya kazi serikalini make kuna unyonyaji mkubwa kwenye maslahi.
 
wanateseka sana asee!!
mwisho wa mwezi mpaka mangi wa dukani anaujua anabeba 300,000/= yake ya madeni ya mahitaji mwezi mzima!!
 
Miaka tisa uliyohisabia nursery na primary ni ya lazima ata neyma kusoma iyo miaka then ujue kwenye kusoma kuna vitu viwili matokeo yako ya kiuchumi ndokama uliyoyazungumzia yazungumzia na kuona amna faida ya kusoma lakini matokeo mengine ni kupata professional ambayo itasaidia jamii mfano daktari sasa ukisema kila mtu asisome daktari atapatikana vipi
 
Kuajiriwa ni kipaji najuta muda niliowahi kuupoteza kuandaa barua za maombi ya kazi, ...Ahsante Mungu kwa kunifungua na ..
 
Mkuu mleta mada naomba kwa heshima zote ni ku crush kama ifwatavyo ...

Kujilinganisha na neymar ni upuuzi mkubwa sana unaoufanya bila kujijua... kwanini mpira ni biashara, neymar ana kipaji kafwata kazi ya ndoto zake ambayo ni kucheza soka hivyo ndio maana ameweza fanikiwa kiasi icho tofauti na wewe MD ambayo usikute ulifosi kwa nguvu sana lakini kumbe kipaji chako ni kuimba,

Hivyo hutoweza fanikiwa kamwe na utazidi kuwa mtumwa wakutupwa, fanya kitu roho na nafsi inaridhia
 
Miaka tisa uliyohisabia nursery na primary ni ya lazima ata neyma kusoma iyo miaka then ujue kwenye kusoma kuna vitu viwili matokeo yako ya kiuchumi ndokama uliyoyazungumzia yazungumzia na kuona amna faida ya kusoma lakini matokeo mengine ni kupata professional ambayo itasaidia jamii mfano daktari sasa ukisema kila mtu asisome daktari atapatikana vipi
Umenena mr octobet
 
Back
Top Bottom