Kwa mnaojua uchumi, Ni hasara gani tumepata kutokana na kutofika kwa wakati bombadier yetu?

mahwelu

JF-Expert Member
Jun 8, 2013
322
252
Wakuu nawaza kitu hapa,
Ni miezi kama mitano au minne tangu ndege yetu izuiliwe kuja kwetu kwa sababu za kisheria na madai. Nauliza tukiweka kibiashara hasara ya kutolipa na kuipata hiyo ndege mpaka leo inaweza kuwa kiasi gani?
Nakumbuka miezi minne baada ya zile mbili kuja hapa walisema tumepata faida ya millions. Je tunaweza kujua hasara kiasi gani? sometimes bora ulipe kazi ianze kuliko kuchelewa kisha ukalipa...

Nangu mahwelu
 
Mh hatuelewi chochote ndege tumezoea kuziona kwenye movie kwan ww umeshawai kupanda tuanzie hapo kwanza
 
Hakuna hasara tuliyopata, sana sana tumeokoa millions kwenye gharama za uendeshaji na matengenezo endapo ingekuja
 
Back
Top Bottom