UMASIKINI BWANA
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 942
- 567
Hi gt.Unashuhudia mtu anafanya sherehe kubwa inagharimu pesa nyingi eti ndoa kwisheni pati send pot
Nenda Kwa wazazi wake wana shida nyumba inavuja mapanya yanapiga mpira dalini choo kimebomoka.
Kwakweli hii inasikitisha sana nimeongea nilichokiona hapa mtaani kwetu jamani tubadilike au wadau hili lipo sawa?[emoji17]