Pendekezo: Kuhusu tume huru ya uchaguzi

Pendekezo: Kuhusu tume huru ya uchaguzi

Kinga kingdom

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2017
Posts
769
Reaction score
847
Nionavyo mimi ili tume huru ya uchaguzi iwepo na ionekane huru kweli kweli basi lazima Iundwe kwa kufuata Utaratibu ufuatao:

Moja kiongozi mkuu asichaguliwe na RAIS.

Pili:viongozi au Wafanyakazi wake wasifungamane na vyama vya siasa!!!

Tatu:Kuwe na muwakilishi wa kila mkoa ndani ya tume ambaye atamsimamia Mtangazaji wa matokeo asitangaze kinyume na hali halisi...

Kama hiyo haitoshi kura ziwe zinahesabiwa mahakamani na kutangazwa huko huku wahusika wagombea wakishughudia mwanzo mwisho...

Hapo hakutakua na wakusema ameibiwa ila kwa hivi Sasa Malalamiko hayataisha.

Ruksa kukosoa

Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
 
Mawazo huleta maendeleo na njia mbadara. Mimi nawaza tofauti. Uchaguzi mkuu uwe chini ya jeshi la wanachi. Tuwe na mfumo usioluhusu kuingiliwa. Na katiba itamke. Uchaguzi uwe ni tuzo ya heshima ya amani ya jeshi. Ili jeshi litende vema kuipa heshima bila making'uniko toka upande wowote. Pili uchaguzi unapowadia kuanzia kampeni raisi astep down nchi isimamiwe na spika asie na maelekezo juu ya jeshi dhidi ya uchaguzi. Jeshi lisimamie kampeni Kama ratiba ilivyo na usalama ikizingatia haki na Sheria ya uchaguzi kwa washiliki wote. Hii italeta kuaminika kwa tume ya uchaguzi ya jeshi. Tume hiyo iwe na wawakilishi wa vyama vyote kila kituo cha kura na kwenye tume pia.
 
Mkuu WA jeshi atateuliwa na mgombea ueais mmoja
 
Unatazamia nini pale ambapo Refa anatoka chama A, Washika vibendera ni wa Chama A, Makamisaa wamelishwa yamini na Chama A kuwa iwe iwavyo hamna Chama B kushinda. Mechi ya Ushindani huu haina Chochote cha maana ila Uigizaji tuu.
 
Back
Top Bottom