Naomba kujua maana ya kutaifisha

Naomba kujua maana ya kutaifisha

Bowie

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
4,373
Reaction score
6,086
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi ameamuru tani 65 za Samaki zenye thamani ya shilingi milioni 200 zitaifishwe na hapo hapo ameamuru Samaki hao wauziwe watu wenye leseni ya kusafirisha kwenda nje.

Ninavyoelewa mie neno kutaifisha ni kutwaa kilichokamatwa na kuwa mali ya serikali huu mtindo wa kutaifisha na hapo hapo kuuza haiwezi kuwa ni dhulma moja kwa moja kwa mwenye mali ama Samaki hizo.

Ingekuwa busara zaidi kumpiga faini hata kwa thamani ya nusu ya mzigo huo na kumrudishia mwenyewe badala ya ku taiifisha na kuuza.
 
Back
Top Bottom