Ukweli wenye ukakasi juu ya mabinti wavaao Hijab

Avatar

JF-Expert Member
Mar 7, 2012
11,127
11,906
Habari za weekend wanaJF, natumaini mu wazima na wenye afya tele.

Kumekuwa na wimbi kubwa la watu kuhisiwa kupotea katika mazingira tatanishi naamini wengi wetu humu mmeshawea kukutana na baadhi ya msg zinazotoa taarifa ya hivyo. Ktk tafakari yangu nimeamua kujiuliza maswali mengi sana na haya yote ni baada ya kupokea msg za mtindo huo kwa muda mrefu sana. Licha ya hivyo kuna wale wengine wa jamii hii hii wao kazi yao ni kutafuta mabwana au waume uko ughaibuni, huwa wakijinadi kuwa wanataka bwana ambaye atawaridhisha kutokana na kiu yao, ama bwana ambaye atamsahidia ktk masomo yake, Maisha yaani ulipaji kodi za nyumba na kulea watoto.

Nimeamua ku base Zaidi kwa hawa wanadada wenye utamaduni wa kuvaa vile vitambaa vya kuzungushia kichwa (ijab) ambao mara nyingi uripotiwa kupotea.


Msg au jumbe hizo za sauti huwa nataarifa kama:

“Fulani binti Fulani amepote, jana aliaga anakwenda kwa ndugu Fulani lkn ilipofikia saa Fulani tulipigiwa simu na mtu mwenye jinsia ya Me akisema amekufa”

clip_image001.jpg


Figure 1 MOJA YA UJUMBE WENYE TAARIFA NILIYO I-QUOTE HAPO JUU

(Nimeshindwa ku attach hiyo audio)

Nyingine ni hii:

clip_image003.jpg


Na nyinginezo nyingi ambazo nimekuwa nikipokea kutoka kwa watu tofauti tofauti bahatimbaya nyingine nilikwisha zifutaga kabla sijapata wazo hili.


Hivyo basi kutokana na hii kasumba inayo wapata sana hawa mabinti na wanawake wa jamii hii, nikapata kawazo kadogo kakutaka kuwa mdadisi (researcher) juu ya hii issue. Maswali yalio nizukia ni kama:

· Kwanini case nyingi za kupotea kwao zinawahusishwa utata katika mazingira ya kupotea?

· Je huwa na tabia ambazo zinapelekea vitendo vya kisasi?

· Je kuna uhusiano labda na mambo ya Imani potofu?

Mimi kama Avatar mok, nipo interested ku carry out hii research ndogo, nimeileta hapa niweze pata baadhi ya mawazo tofauti kutoka kwenu, ninampango wakuandikia Makala fupi juu ya hili jambo. Baada ya kukusanya data zote nitakuja na mrejesho wa ukweli juu ya hizi ishu zinazoendelea hapa nchini.


naruhusu kukosoa kwa hoja, na sio MIHEMKO

Nawakaribisha wote
 
hivi wale waliopotea kibiti wamepatikana? wasije kuwa huko maporini wanalishwa ugaidi wakirudi hapa aisee kitanuka mbaya. serikali ingilia kati mapema, watu wengi hivyo hawawezi kupotea hewani namna hiyo, au wameenda kwenye ulimwengu usiojulikana?
 
Umeingia ndani sanaaa ila moja nalo nadhi ni juu ya uharaka wa ndoa pamoja na hekima mengine muulize nanii
 
Yaani kama hiyo ndiyo research proposal yako tayari umeshafeli kiongozi.
hapana kiongozi wangu, hii ni short abstract tuu... ninatarajia kuandika proposal baada ya hii..

nililiona hilo kuwa kuna baadhi watadhania hii ni proposal.

asante
 
baadhi
 

Attachments

  • IMG-20180106-WA0018.jpg
    IMG-20180106-WA0018.jpg
    41.6 KB · Views: 25
  • IMG-20180106-WA0017.jpg
    IMG-20180106-WA0017.jpg
    18.1 KB · Views: 21
hivi wale waliopotea kibiti wamepatikana? wasije kuwa huko maporini wanalishwa ugaidi wakirudi hapa aisee kitanuka mbaya. serikali ingilia kati mapema, watu wengi hivyo hawawezi kupotea hewani namna hiyo, au wameenda kwenye ulimwengu usiojulikana?
wale wa kibiti mimi sijui mkuu...

wadada??
 

Attachments

  • IMG-20180106-WA0018.jpg
    IMG-20180106-WA0018.jpg
    41.6 KB · Views: 18
Back
Top Bottom