Mnaojenga jihadhari na mchanga wa mto Kawe

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,787
Reaction score
37,992
Waliojengeaa wanajuaà madhara yake.

Mto Kawe umeruhusiwa kuondoolewa mchanga baada ya mvua ya muda mrefu

Nawaasa ndugu zangu mnaojengea ule mchanga ni mimba ya mapacha unaweza kujuta milele

Mchanga ule unabebwa na baadhi ya magari ya kupitia njia ya kuingia kwa Mboma

Ama ukitokea Tankibovu kwenda Rainbow kuna bar inaitwa junction hapo pembeni kuna njia inaingilia kwenda mto Kawe.

Tumepigwa na butwaaa maana sehemu hii RC Makonda alishawahi kuja na kupiga marufuku.

Ajabu wameleta na vifaa vya kuchotea toka manispaa atujajua nini kinaendeleaaa

Onyo: Msije shangaaa nyumba zenu zikipasuka ovyo
 
Sijaielewa point yako ni ipi haswa?
 
Pdidy leo umeandika vzr sana,...kuhusu mchanga ungeweka na sababu za kitaalam kwa nini haufai kujengea...
 
Pdidy, rudi utoe ufafanuzi kuhusu ubaya wa huo mchanga na anayeletewa ataujuaje.

Japo naelewa mchanga unapokuwa na chumvi unaleta crack kwenye nyumba na kama umepigia matofali, lazima yavunjike vunjike.
 
Mambo ya expansion joints hayo, huo mchanga ungefaa kwa wale wataalamu wanaopenda kuacha majengo yapumue
 
Back
Top Bottom