bravetai
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 305
- 255
Ndugu zangu heri ya mwaka mpya 2018,
Naomba kuuliza, je mgao Divident wa HISA za SWISSPORT za mwisho wa mwaka 2017 hazipo mbona kila nikichungulia Bank hakuna kitu?.
Kila mwaka tunagawiwa mara mbili, na sijawahi kukosa kwa miaka yote niliyojiunga nao. Nashangaa mwaka Jana sijapata huo mgao December.
Humu najua kuna wadau wenzangu naomba tuambiane kinachoendelea. Ninazihitaji kweli hizo pesa angalau zinipunguzie makali ya January.
Nashukuru nikipata ufafanuzi.