Pita ubalozi wa ufaransa pale ndipo utaipata.
helo wadau naomba mnisaidie kuhusu visa ya ugiriki nahitaji kusafiri kwenda huko siku za karibuni wakuu
toka posta mpya kama unaelekea Makumbusho kupitia barabara ya Alli Hassan mwinyi.mkuu je kwa Belgium...
mkuu simahanishi sehemu maana napajua lakini jinsi yakupata expert wa hiyo schengen visa kwa Belgium Asantetoka posta mpya kama unaelekea Makumbusho kupitia barabara ya Alli Hassan mwinyi.
kabla haujafika salender kuna kituo kinaitwa palm shuka. Upande wa kulia kuna barabara shuka nayo mbele ulizia utaonyeshwa.
hakuna anayetoa visa za nchi zaidi ya ubalozi uliopewa jukumu.mkuu simahanishi sehemu maana napajua lakini jinsi yakupata expert wa hiyo schengen visa kwa Belgium Asante
Kama unaamini hivyo sawa. Dunia sinia shekh unapakua unachoweza.Ndio mkuu nilicho maanisha ndo hicho maana hao ma agent huwa wanasaidia kuipata kirahisi maana ubalozi unaweza kamilisha vigezo vyote na wakakunyima ndo hivyo mkuu.