January mwezi dume.Wapi tunakosea?

January mwezi dume.Wapi tunakosea?

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,627
Pesa huwa zimeishia kwenye bata za sikukuu na kwa kutembelea familia zetu na ukweni.

Ada za watoto na kodi za hapa na pale.

Nini kifanyike kujinasua na taabu za mwezi january? Wapi tunakosea.
 
Tumwambie Livingsyone Lusinde apeleke mswada bungeni mwaka mpya uwe OCTOBER!!!
 
ni pale unaposherehekea mwaka mpya na christmass as if hujawahi sheherekea kabisa toka uzaliwe,wakati huo huo ukijua kuwa january au february watoto wanaenda shule,pia ndio kipindi ambacho mzunguko wa pesa unakuaga mdogo
 
Ni kijipanga na kujua majumkumu yako otherwise utapata wazimu bure. Mi nililipa ada za January mwezi November 2017 so sasa hivi naangalia tu mchezo unavyoenda.
 
Ni kijipanga na kujua majumkumu yako otherwise utapata wazimu bure. Mi nililipa ada za January mwezi November 2017 so sasa hivi naangalia tu mchezo unavyoenda.
Nikopeshe mkuu
 
Back
Top Bottom