Mzillar
Member
- Jan 4, 2018
- 34
- 40
Habari wakuu,
Kichwa chajieleza hapo juu,
Mimi ni mfanyakazi wa kampuni nimeajiriwa miezi 6 ilopita, kutokana na ugeni wa eneo ninaloishi hua nikitoka kazini nakua nipo tuu sina cha kufanya home.
Nilikua naomba ushauri naweza kujifunza fani gani au kujishughulisha na biashara gani niendelee kua bize na kujiongezea kipato.
Karibuni kwa mawazo ya hekima