Kwa wanaotumia mtandao wa Halotel Tz naomba msaada kuhusu hili

Onyix

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
683
788
[Kwa wale watumiaji wa Halotel... Ukiweka vocha unatumiwa msg hii hapa..]

[HALO WIN]
Hongera, Umepoke namba ya Bahati! Tafadhali tuma 7728469 kwenda 0901220004 au piga 0901220004 fuata maelekezo na USHINDE

[Na baada ya kutuma hizo namba unapata jibu hili hapa chini]

[HALO WIN]
Namba yako ya Bahati imeingizwa katika droo ya kushindania zawadi. Mshindi atatangazwa baada ya droo kuchezeshwa.
Asante!

[Swali langu hizo droo sijawahi kisikia mshindi au zawadi... Au ndo mambo ya vutia mteja mwenye kujua hili atujuze na jinsi vyuma vilivyo kaza.]
 
Moja kati ya kampuni ya kihuni kuwahi tokea na ni wanyonyaji wakubwa pata wafanyakazi wake hawa vijana wa mitaani na mateam leader ukisikie vilio vyao usitegee mfanyakazi alie we ushinde droo
 
Wasitutumie hizi msg zao sasa maana ndo wanaonekana waongo zaidi...
 
Back
Top Bottom