Manispaa ya Ilala imejaa rushwa

Manispaa ya Ilala imejaa rushwa

PamiKa

Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
17
Reaction score
21
Habari wadau

Niende moja kwa moja kwenye mada
Hii halmashauri watendaji wake ni wabovu sana katika ofisi ya mkurugenzi
Nilichokiona pale ni kujuana,undugu na rushwa vimetamalaki

Binafsi nimekua na suala linalohitaji kushughulikiwa ndani ya muda mfupi sasa imekua ni kupigwa tarehe kila siku kwa jambo ambalo lingeisha tangu siku ya kwanza.

Najua kuna viongozi wanaopitia huku tunaomba mtusaidie katika utatuzi wa shida zetu katika ofisi ile maana imekua kero sasa.

NB:Baada ya siku chache wasipojirekebisha nitakuja hapa na ushahidi wa maandishi na video na picha ili mamlaka husika zione tatizo lilivyo
 
Pole sana

Komaa tuu huenda faili lako liko hatua za mwisho kushughulikiwa
 
Back
Top Bottom