MTOTO mwenye umri wa miaka sita Joseph Simon[6]mkazi wa kijiji cha Buzanaki, Kata ya Nyamarimbe wilaya na mkoa wa Geita ameuawa na fisi na kisha kuliwa baadhi ya viungo vya mwili wake kabla ya...
Hospitali hii maarufu kama ya mkoa inalidhalilisha taifa kwani imepakana na kituo cha mikutano cha AICC, ofisi ya mkuu wa mkoa,tra, etc inatia aibu kwa mazingira yake ya uzio wake.
Uzio huu ni...
Taa hizi zilizojengwa maeneo ya stendi ya namanga, crdb na kona esso ni bughudha tupu kwa maisha ya wakazi wa jiji hili. Taa hizi zinasababisha msongamano mkubwa wa magari nyakati zote za...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiangalia ubora wa kiatu cha Mrakibu Msaidizi wa Magereza Melkior Komba, katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.
Viatu hivyo...
Kutokana na jengo kubomolewa mifumo ya luku imekuwa dusturbed na haifanyi kazi toka jana saa 2 asubuh. Hii ni kutokana na upishaji wa jengo kubomolewa. Tanesco ambayo huwa inauza takribani bil3.5...
Wakuu, technology ndio kila kitu kwa sasa Pia kupitia Tech data collection na Management imekuwa Rahsi sana, Tunahitaji mifumo Sophisticated ya Kukusanya Data zote za Taasisi zinazofanana na Kuwa...
Leo wakati nipo sehemu tulivu sana yakanijia maono na kumuona babu Seya na mwanawe wanaachiwa huru mwaka huu na kufanyiwa sherehe moja ya nguvu na wanamuziki wote wa muziki wa dansi na bongo fleva...
Za asubuhi wana jf wote.
Swali langu ni hilo tu, nineiona simu ebay ya uk, nimeipenda! Nawezaje inunua na inifikie mimi ambaye niko dsm, Tz?
Je yawezekana?
Habari zenu! Samahanini, naombeni kujua ni wapi hapa Tanzania wanaruka Bunjee Jumping, yale mambo ya adventure!! Ile unafungwa kamba mguuni kisha unajitupa chini mahali penye kina kirefu. Ajuaye...
Wameisherehekea vizuri sana siku ya uhuru wa kujiamulia mambo including molestation.
Kiongozi mkuu amewasamehe huku akijivunia na kujipiga kifua kutumia vifungu vya katiba!
Of all criminal...
Bado najiuliza Kama Kweli Babu Seya hakuwa ameonewa , Je Kwa nini Baada ya Mh Rais kutaja jina lake kwa nini Uwanjani kulijawa na Shangwe na Vifijooo telee.
Je kwa nini wale watoto waliotoa...
Habari za asubuhi wana jamvi,
Nimekuwa nikisafiri kwa mabasi kwa muda refu sana katika mikoa mbalimbali hapa nchini.
Kwa utaratibu wa sasa kuna vituo askari wa barabarani wamekuwa wakisimamisha...
Licha ya kuongezeka kwa bajeti inayoelekezwa katika sekta ya lishe nchini, bado haijasaidia kupunguza tatizo la udumavu kwa watoto walio chini ya umri wa miaka 5 na kuathiri maendeleo ya kiafya...
Wadau,
Nguza Viking na mwanae Papii Kocha wamefanyiwa maombi maalumu yaliyochukua masaa matano mfululizo kuanzia saa 1 hadi saa 5 usiku baada ya kuachiwa kwa msamaha wa Rais. Maombi hayo maalumu...
Afya zao hazizingatiwihawa jamaa wanafanya kazi kwenye msongamano mkubwa wa magari yanayotoa moshi hatari kwa afya zao lakini sijaona Polisi wa Usalama Barabarani Tanzania wakiwa na viziba uso ili...
Hiki ndio kimekuwa kivutio kwa wananchi hapa Dodoma mjini kwenye uwanja wa ndege ulio pembezoni mwa barabara ya kuingia mjini ambapo wanajeshi walionekana wakishuka kwa kamba kutoka kwenye...
Kwa hakika nchi yetu kwa sasa imekuwa feki kwa 100%.
Kitu pekee kilichobaki ni kumsifia Rais Magufuli hata kama anachokifanya si sahihi ili mradi tu na wewe upate tonge la ugali.
Kwa hakika...
Afya ni kitu cha msingi sana katika maisha ya binadamu.
Tumeshuhudia hata wanasiasa wakifanyia kampeni sekta hii ni namna gani wananchi watapata huduma nzuri ya afya bila gharama kubwa. mfano...
Huyu Mjinga Katika Mtandao Wa Facebook Kwa Makusudi Afurahia Vifo Vya Wanajeshi 14 Wa Jeshi la Wananchi Tanzania Vilivyotokea Huko Congo Kwa Kudai eti Ni Wapemba Kwahiyo Wamekufa Kwa Uzembe Wao...