farujohni
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 212
- 285
Jamani kama kichwa kinavyo eleza niko hapa kigoma zaidi ya wiki 2 sasa maji hayatoki mji mzima ukiuliza sababu wanasema umeme umekatwa watu wanatesa maji hakuna watu wanachota maji ziwani machafu nasasa nimsim wa vuwa yakilipuka magojwa ka kipundupindu serikali ije navirungu kupiga mamalishe wakati chanzo wanakijuwa [HASHTAG]#zitto[/HASHTAG] uko wapi mwambia jamaa yako sikatibu mkuu wamaji