Hivi tumeshajiuliza tulivyomkamata yusuf msnji tumepata hasara kiasi gani na gaida kiasi hani? Je kodi kiasi gani tumepoteza? Lengo hasa lilikuwa nini?
Tumemkamata bro Ruge na Bohora sawa. Ila najiuliza tumemkamata kaka zakaria tunameka selo kwa kosa lipi? Hivi huyu mtu anatulipa kodi kiasi gani hilo hatuangalii?
Tumeona sheria za uhasama barabarani nadhani ipo shida katika kufikiri au tuna idadi kubwa ya watumishi wa umma wazee.
Hili la fao la kujitoa nalo sijui tu labda ipo shida ambayo sio vyema kuitaja hadharani.
Nasikia heche analalamika kuchimbwa mkwara mbona kashauri vizuri tu au shida nini?
Lazima tujue wafanya biashara wetu ni wale shule iligoma. Wasomi wetu wanataka waajiriwe sasa tunapoleta ubabaishaji tujue tunaharibia watu maisha.