ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,013
Kiukweli najua wengine wataona sieleweki ila kutokana na tabia ya huyu mheshimiwa,jinsi anavyojichukuliaga kama bonge la star na mchapakazi hodari,nikiona hii pic nacheka sana,yaani hapo deep inside anajiona amiri jeshi mkuu akikagua masoja wake walahi
nikukmbuka ile instagram post
akijibishana na mtu aliyemuita fisi yeye waziri mzima akamjibu kwa kumuita we ni mbweha,nikikumbuka kile kidaftari pale getini wizara ya afya,sakata la dr mwaka,nikikumbuka suggestion ya kutumia warembo huko utalii,plus kiki za juzi za ile press conference na ule mkutano wa Tokyo japan pale Rais kikwete alipotoka nje ya ukumbi kidogo,bwana Hamis akakalia kiti kwa dakika 27 na kutweet jinsi alivyokuwa Rais wa nchi kwa dk 27 nafurahi sana ,nikiunganisha na hiii picha basi ni buruuudanii toshaaaaaaa.
nikukmbuka ile instagram post