Kuna raha gani kuwa mchawi?

Kuna raha gani kuwa mchawi?

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,627
Wachawi karibu wote ni shida tupu. Wanakula wanavaa na kulala kwa masharti sana japokuwa wengine wanakuwa na pesa. Pesa zao huwa zinawatesa sana!


Mara usivae chupi.Mara usilala kitandani.Mara usile nyama. Mara usivae suti.Mara bweka kila siku saa 10 alfajiri.Na mambo mengi kemkem!

Hela za kichawi hauli bata.Unasaidia watu kwa shida!Kuna jamaa yangu mmoja huwa ni lazima aamke saa 9 alfajiri akabweke nje mara 3!

Masharti ya kichawi ujinga mtupu!

Raha iko wapi kuwa mchawi au kufanya uchawi?
 
Kuyayuka, kupaa na kuingia ndani kwa mtu kimazingara.. we utamani huu mchezo??
 
Wewe bwana sredi zako za kishirikina tuuuu.

Je, huna hofu ya Mungu moyoni mwako?

Hauogopi siku utakayokutanishwa na Mola wako jinsi utakavyojisikia kwa kujidanganya binadamu mwenzio anaweza kukupa kilichofungwa na Mungu?
 
Uchawi wa ivyo uwa haupo hizo ni story tu wala azina ukweli...isipokuwa uchawi uliopo ni huu wakibongo wakiongoz kuja mikoan kuomba ubunge ..ila mkishampatia anahenda kuishi masaki ...au kiongoz kubomoa nyumba yako ili ulale nje alafu yeye anaishi kweny kiyoyozi ..huku anakula na kuishi kwa kodi yako..../ uwo ndo uchawi.
 
1.Unaruka kwa ungo kwahyo hupati taabu ya usafiri, huwezi kulalamikia kupanda kwa petroli au dieseli.

2.Hununui nguo nyingi kwasababu wachawi wanapenda kukaa uchi au kuvaa matambara.

3.Utakua na marafiki wachache kwa maana. hakuna mtu anaependa rafiki mchawi unless awe ni mchawi mwenzako.

4.Utakosa ufalme wa mbinguni/peponi.
 
Nadhani tungepata japo sample ya wachawi wakatupa uzoefu wao tungepata jibu mujarabu..
 
Hivi wachawi(wanga) wakija usiku, wanashuhudia wanandoa au wapenzi wanavyojipinda wakifanya yao live ndani ya chumba wao wakiwa pembeni na matunguli?
 
Dah...kuwa mchawi raha sana....unajitafunia tu dem yoyote ukimtaka....bila ridhaa yake[emoji41]
 
raha sana,mtu akikukera mchana wala hushindani naye unamfuata usiku unamcharaza mikwaju halafu unmbebesha mizigo mpaka hasira zinaisha.......
 
Raha ya uchawi...papuchi bure waulize wachawi wa kisukuma watakueleza. Kusafiri kwa kutumia fisi....kukaa makaburini uchi na mademu wachawi... kuchukua mazoezi ya kukimbia usiku.....huoni hizo ni raha ??
 
Hivi wachawi(wanga) wakija usiku, wanashuhudia wanandoa au wapenzi wanavyojipinda wakifanya yao live ndani ya chumba wao wakiwa pembeni na matunguli?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom