TUSEMEZANE: Masharti aliyowahi kukupa mganga?

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Duniani kuna mengi hasa maswala yahusuyo hela!.Watu hufurukuta katika kila idara mpk kuroga. Pindi uendapo kwa mganga unakutana na masharti kemkemi!Mara usifanye hivi.Mara fanya vile. Shida tu.

Wewe ambaye umewahi kwenda kwa mganga alikupa masharti gani?

Mm niliwahi kwenda akataka nimtoe kafara mtoto.Nilimaindi sana nikamtukana nikasepa.
 
Niliwahi kuambiwa niweke kioo chini ya sketi ya madam akiwa kakaa halafu nikodoe mijicho moja Kwa moja nitakuwa na akili sana
 
Kuna hili unapewa utajiri usio na masharti ya kuua ila usiwe unapiga nyapu maisha yako yote..
 
Hapo KWENYE masharti Ndy WAREMBO wanapotafunwa,,,, UNA NUKSI mwilini mwako,,, tafuta MWANAUME ambaye siyo mpnz wako akuweke Dawa,,,, Mganga anasisitiza kusema,,,, awe HUNA MAHUSIANO NAE,,, umpe Dawa hii,,, apake KWENYE DUSHE,,,, akuingize,,,,, Mganga nitawezaje kumpata mtu barabarani? Naomba nisaidie kuniweka DAWA,,,, Ndy hapo MGANGA anapiga GOLI,,,, siku ZOTE hapo KWENYE masharti Unapaswa Kuwa makini sn....
 
1. Usitumie hela vibaya
2. Usile nyama
3. Usiwe na nguo nyingi
4. Usivae chupi
5. Usitembee na mwanamke wa nje
6. Usihonge
7. Usilalie godoro au lala chini
8. Usifue shula au blanketi
9. Usifagie uvunguni
 
Duniani kuna mengi hasa maswala yahusuyo hela!.Watu hufurukuta katika kila idara mpk kuroga. Pindi uendapo kwa mganga unakutana na masharti kemkemi!Mara usifanye hivi.Mara fanya vile. Shida tu.

Wewe ambaye umewahi kwenda kwa mganga alikupa masharti gani?

Mm niliwahi kwenda akataka nimtoe kafara mtoto.Nilimaindi sana nikamtukana nikasepa.
Mganga wa kweli hawezi kukupa masharti magumu
 
Me niliambiwa nimfukuze mke wangu alafu nimuoe Nuru eti ndo mwenye baraka.....kudadeki saizi CR wa SUA wa enzi hizo nakufa njaa kama sijawahi kwenda Ethiopia vile.
 
Alinambia nitembee na boss wangu(mwanamke) sijui mganga anazani nafanya kazi bar!..
 
Duniani kuna mengi hasa maswala yahusuyo hela!.Watu hufurukuta katika kila idara mpk kuroga. Pindi uendapo kwa mganga unakutana na masharti kemkemi!Mara usifanye hivi.Mara fanya vile. Shida tu.

Wewe ambaye umewahi kwenda kwa mganga alikupa masharti gani?

Mm niliwahi kwenda akataka nimtoe kafara mtoto.Nilimaindi sana nikamtukana nikasepa.

Ngoja leo nione ' Washirikina ' wa Kutukuka watakavyotiririka na kurereka na huu uzi unaowahusu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom