Hali ni tete ibada ya toba imepigwa chini waumini wameamua kuaimba mwanzo mwisho..
Jpli ilio pita iliamuliwa na uongozi wa kanisa Luth Mtwara jpli ya leo iwe siku ya toba kwa yale yalitokea 2016. Kama mtakumbuka 2016 waumini waliweka mabango kwenye madhabau kumpinga alie kuwa askofu mkuu wakanisa kuwa sio mwaminifu kwa fedha za kanisa. Jambo limewakera waumini nikuitishwa kwa ibada hiyo pasipo kufanyiwa maamuzi yao.
Leo ilipaswa nguo rasmi iwe black kwa waumini wote ila ajabu yake watu wamepiga full white nakutovaa nguo ilikubalika.
Pili badala yakuwepo kwa ibada wameamua wapige pambio mwanzo mwisho.
Tunamshukuru RPC mtwara vinana wake wapo na sare za kimtaa wanaangalia hali ya usalam..
Update
At last ibada imeanza na wale wamesema tutapiga pambio mwanzo mwisho hawajatoa update.. Nitawajuza soon..
Ulinzi umeimarishwa ilabkwa taratibu za kuongoza ibada za kilutheri kiongozi ndio anaongoza wimbo wakuingia ila baada ya tafaruku fulani yakumzuwia mtumishi atimae ameingia ila ajabu yake nikuwa askofu na watu wake wanaimba nyimbo yao wakati waumini pia wakiimba wimbo wao pia yani hali ni yakusikitisha. Waumini hawamtaki Askofu na uongoz mzima wa kanisa ndivyo unesimamia.
Sasa amekikalia kiti mkuu wa kanisa ambaye waumini hawamtaki
Ngoja tusubiri
Ibada imeanza robo wametoka na nusu kwa nusu wamebaki kanisani ila nusu wamekaa nusu wamesimama.
Kijana anaitwa Macha amesimama nakusema watu hawana amani itafutwe njia yakuleta usuluhishi watu wameshamgilia sana nakufurahi watu next no one know ibada ndio inaisha.
Update
Baba Askofu ametoa neno lakuomba radhi na washarika ndio wanamsikiliza.