Nimeamua kula sahani moja na wakufunzi wanaonyanyasa wanafunzi vyuoni

scope17

Member
Mar 7, 2017
35
47
Habari za muda wakuu,

Natumaini nyote mnaanza mapumziko ya mwisho wa wiki salama,

Turejee kwenye mada tajwa.

Ni kwa muda mrefu sana tumekuwa tukisikia maswala ya kiunyanyasaji yakifanywa na wakufunzi wa vyuo dhidi ya wanafunzi kwa masilahi yao binafsi.

Mfano maswala ya kuwaomba wanafunzi rushwa (fedha au ngono ) ili kuwafaulisha katika kozi zao.

Matukio hayo yamekuwa yakiwaathiri wanafunzi wa jinsia zote lakini athari kubwa zimekuwa zikiwapata watoto wa kike na hii ni kutokana na sababu ya udhaifu walionao kimaumbile n.k, matatizo yanayowakumba kutokana na tabia hizo chafu ni pamoja na matatizo ya kisaikolojia, mimba na hata magonjwa ya zinaa (kama nchi tunapaswa kuchukua hatua)

Binafsi nimewahi kuathirika na mchezo huo mchafu enzi za uanafunzi. Nimekaa kwa muda mrefu sana nikisoma mazingira ya mchezo huu sasa nimeamua kuja na kampeni hii ya kuwafichua wale wote wanaojihusisha na mchezo huu mchafu (ndugu zangu hali ni mbaya sana vyuoni)

Watoto wa kike kama nilivyosema hapo juu, wanaathirika sana na huu upuuzi wa wa kufunzi wasio na maadili katika taaluma zao, wamekuwa wakibaki na maumivu yao mioyoni ikiwauwa ndani kwa ndani.

Sasa nawapa nafasi ya kusema na nitawasaidia kwa namna moja ama nyingine kurejesha furaha na matumaini yao kwa kuwachukulia hatua stahiki wakufunzi walio wavunjia heshima na kuzitesa hisia zao.

Kiukweli ninachukia sana pale ninapoona mwanaume akimliza mwanamke kwa sababu tu ya udhaifu wake, jaribu kuvuta picha mzazi unampeleka mwanao chuo halafu anafelishwa, anapewa mimba au anapewa magojwa na mwalimu aliye aminika umma ili kuielimisha Jamii (inauma usiombe ikukute ndugu)

Jinsi kampeni itakavyofanya kazi, nimeshapandikiza agents katika baadhi ya vyuo (bado nahitaji agents wengi zaidi) hawa watakuwa wakipewa mfunzo endelevu na kazi yao ni kuniletea majina pamoja na details za kutosha za hao wakufunzi wapuuzi wasio na huruma na kizazi chao then mimi nitaendelea na taratibu zingine, ninahitaji wanasheria pia katika jopo langu ili pale kwenye ushahidi wa kutosha tuwaburuze mahakamani hawa wakufunzi wakapambane na majaji kortini.

Ewe mwanafunzi uliyeombwa rushwa ya aina yoyote au uliyenyanyaswa kwa namna yoyote na mwalimu huko chuoni kwako ni PM tuangalie jinsi ya kudeal na hao watu. Nimeamua kufanya hivyo ili kuwapa watu nafasi ya kusema lakini pia hii ni baada ya kuona kuwa nchi inataasisi butu sana kila kona ubabaishaji tupu. Mimi ni private investigator niliyejitolea kuiokoa jamii na ndoto yangu ni kuona vitendo vya namna hiyo vinakoma.

Baadhi yao nitawataja humu live.

Naombeni maoni yenu jinsi ya kuboresha movement hii, ahsanteni.
 
Tatizo liko kwa wasimamizi ama viongozi.Unakuta wao nao wanapenda mambo hayo kwa hiyo hawezi kuzuia wanafunzi wasifanyiwe.Unakuta mkufunzi kijana anagegeda karibu watoto kumi katika msimu mmoja na wakimaliza chuo,anaanza na wapya!
 
Habari za Muda wakuu!

Natumain nyote mnaanza mapumziko ya mwsho wa wiki salama..
Hapa chini Kuna link, tafadhli fungua Kuna swali limeulizwa kuhusu mada tajwa kisha piga kura yako..!
Have your say: Je,ukatili wa kingono vyuoni unaathiri maendeleo ya wanafunzi kitaaluma?

Turejee kwenye mada tajwa.
Ni kwa muda mrefu Sana tumekuwa tukisikia maswala ya kiunyanyasaji yakifanywa na wakufunzi wa vyuo dhidi ya wanafunzi kwa masilahi Yao binafsi.
Mfano maswala ya kuwaomba wanafunzi rushwa ( fedha au ngono ) Ili kuwafaulisha katika kozi zao..!

Matukio hayo yamekuwa yakiwaathir wanafunzi wa jinsia zote lakin athari kubwa zimekuwa zikiwapata watoto wa kike na hii ni kutokana na sababu ya udhaifu walionao kimaumbile n.k, matatizo yanayo wakumba kutokana na tabia hizo chafu ni pamoja na matatizo ya kisaikolojia, mimba, na hata magonjwa ya zinaa..(Kama nchi tunapasw kuchukua hatua)

Binafsi nimewahi kuathirika na mchezo huo mchafu enzi za uanafunzi.! Nimekaa kwa muda mrefu Sana nikisoma mazingira ya mchezo huu sasa nimeamua kuja na kampen hii ya kuwafichua wale wote wanaojihusisha na mchezo huu mchafu ( ndugu zangu hali ni mbaya Sana vyuoni )

Watoto wakike Kama nilivyosema hapo juu, wanaathirika Sana na huu upuuzi wa wakufunzi wasio na maadili katika taaluma zao, wamekuwa wakibaki na maumiv Yao mioyoni ikiwauwa ndani kwa ndani. Sasa nawapa nafasi ya kusema na nitawasaidia kwa namna moja ama nyingine kurejesha Furaha na matumaini Yao kwa kuwachukulia hatua stahiki wakufunzi walio wavunjia heshima na kuzitesa hisia zao..!

Kiukweli ninachukia Sana pale ninapoona mwanaume akimliza mwanamke kwa Sababu Tu ya udhaifu wake, jarib kuvta pcha mzaz unampeleka mwanao Chuo halafu anafelishwa, anapewa mimba au anapewa magojwa na mwalimu aliye aminika umma Ili kuielimisha Jamii..!(inauma usiombe ikukute ndugu)

Jinsi kampen itakavyofanya kazi..
Nimesha pandikiza agents katika baadh Ya vyuo (bado nahitaji agents wengi zaidi) hawa watakuwa wakipewa mfunzo endelevu na kazi Yao ni kuniletea majina pamoja na details za kutosha za hao wakufunzi wapuuzi wasio na huruma na kizazi chao then mm nitaendelea na taratibu zingine, ninahtaj wanasheria pia katika jopo Lang Ili pale kwny ushahidi wa kutosha tuwaburuze mahakamani hawa wapuuzi Wakapambane na majaji kortini..!

Ewe mwanafunzi uliye ombwa rushwa ya aina yoyote au uliyenyanyaswa kwa namna yoyote na mwalimu huko chuoni kwako ni PM tuangalie jinsi ya kudeal na hao watu..!

Nimeamua kufanya hivyo Ili kuwapa watu nafasi ya kusema lakin pia hii ni baada ya kuona kuwa nchi inataasisi butu Sana Kila kona ubabaishaji tupu..! Mimi ni private investigator niliyejitolea kuiokoa Jamii na ndoto yangu ni kuona vitendo vya nmna hyo vinakoma

baadhi yao nitawaraja humu live..!
Naombeni maoni yenu jins ya kuboresha movement hii, asanteni..!


Kila la kheri, ukiitaji msaada bila mtu kuji expose nambie, ile hao mabinti wapate training wasije wakajitongozesha kumzulia mtu balaa
 
Naunga mkono hoja yako mm namfatilia mmoja kule Moro anagegeda ile mbaya lkn kazeheka siku hizi
 
Naunga mkono hoja yako mm namfatilia mmoja kule Moro anagegeda ile mbaya lkn kazeheka siku hizi
 
Back
Top Bottom