Kile tunachowaza siye Vijana ambao hatujaoa.

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,201
Niseme tu ule ukweli wenyewe sisi vijana ambao hatujaoa huwa tunawazia makubwa sana kwenye ndoa .

Yaani unaweza kukaa ukawaza na kujisemea tu siku nikioa nitakuwa nafanya sex (Ngono) kila siku .

Yaani unajipimia kabisa nikae na papuchi ndani alafu nisiipimie haiwezekani kabisa.

Tunafika mbali zaidi mpaka sometime tunajipangia na muda kabisa kwenye mawazo yetu yaani kabla ya kulala Najipigia zangu kimoko, nikishtuka night najisevia tena na Asubuhi kwa sababu mnara huwa unasoma 4G± basi lazima nijipigie cha kwendea kazini.

Siyo kwamba tunawaonea wivu nyie mlioa au kuolewa hapana bali ni mawazo yetu tu sisi vijana tunaotamani kuoa japo muda bado.

Muda mwingine tukiona couple pendwa zinapita mtahani basi mawazo yetu yanatufikisha kwamba ata sisi one day tutakuwa vile kama tunavyoona yaani ni furaha na kujipimia tu kila day .

Huwa hatuwazii maumivu au changamoto zozote za kwenye Ndoa daily tunachowaza ni ule Utamu tu.

......!
 
napita tu hapaaa,[emoji16]
 
Unachowaza pekee yako, usiwasemee vijana wengine, jifunze kitumia nafsi umoja!
 
hee! unaanzaje kulala na papuchi pemben afu uiache ilale njaa?we ngoja nioe aisee itanikoma
 
Hujiulizi kwanini ndoa huwa zinavunjika ndoa ni shimo walio ndani wanataka kutoka walio nje wanataka kuingia wanazani waliomo wanafaidi tuliza kichwa
 
Hamjarudi shule tuu? Au ni wale mnaovuta wiki mbili tatu zaidi
 
Back
Top Bottom