Ata dawa zakupaka maiti azinaga Expire dateHabari zanu wanajf.
Niende kwenye swali moja kwa moja, Hivi jamani kwanini Soda hazina expire date?
Carbonated drinks...Habari zanu wanajf.
Niende kwenye swali moja kwa moja, Hivi jamani kwanini Soda hazina expire date?
Wewe jamaa umenichekesha balaaAta dawa zakupaka maiti azinaga Expire date
Maji hayana expire date, expire date unayoiona ni kwa ajili ya chupa yalimohifadhiwa maji...Hakuna kinywaji kisicho na expire date hata maji yanaexpire date
Tia maji kwenye ndoo yaache mwaka uje kunywaMaji hayana expire date, expire date unayoiona ni kwa ajili ya chupa yalimohifadhiwa maji...
Unayachemsha then yakipoa unayanywa,,, hata kama yalikaa miaka mitatuTia maji kwenye ndoo yaache mwaka uje kunywa