Mchango mbunge John Heche na sera ya vijana kujiajiri.

Mchango mbunge John Heche na sera ya vijana kujiajiri.

radika

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
20,450
Reaction score
32,292
"Vijana hawana ajira eti mnawaambia wajiajiri, wewe mwenyewe umeshindwa kujiajiri umeomba Ubunge hapa unataka kijana wa mtaani ajiajiri, wabunge wote hawa tumeshindwa kujiajiri tukaenda kuomba ajira kwa wananchi, wengine maprofesa sijui na nini. Kijana aliyemaliza chuo mwaka wa kwanza mnamwambia nenda kajiajiri kule, vijana hawawezi kutengeneza ajira. Mnataka tukae wapi tukisema hili kwenu baya, tukija hapa kwenu baya mnataka nini sasa?" John Heche / Mbunge-Tarime Vijijini.
FB_IMG_1517998744908.jpg
 
Hakika walio na vyeo ndio utasikia mkajiajiri watoto wao wakiwatafutia ajira nzuri ila watoto wamasikini tulime matikiti tu nasi tutatoka kimaisha
 
Hakika walio na vyeo ndio utasikia mkajiajiri watoto wao wakiwatafutia ajira nzuri ila watoto wamasikini tulime matikiti tu nasi tutatoka kimaisha

Sema na hayo matikiti unapangiwa bei ya kuyauza tena uyauzie shambani usijefika mjini ukakutana na mtoto wa kigogo uliyesoma naye. Is this fair???
 
Back
Top Bottom