mahatmaxlla
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 967
- 1,575
Wakuu habarini za asubuhi,nina imani wengi wetu tumeamka vyema ikiwa jumatano ya pili ya mwezi FEB
Kuna huyu mwanadada mzaliwa wa uganda ali maarufu kama winfrend businge,ni mfanya biashara wa kiwango cha kati kwa nchi ya uganda ambae anachipukia kwa kasi zaidi,hivi juzi kati alikamatwa na billion mbili taslimu TZS airpot DSM ikiwa ndani ya mkoba wake wakuvaa begani.
Nimeshangaa na bado naendelea kushangaa mpaka sasa baada ya mwanadada huyu kuukumiwa kifungo cha miaka mitatu au faini ya millioni tatu TZS,ndipo awe huru,dada amejitaidi akatoa million tatu walizo zihitaji na hivi sasa ameachiwa huru,baada ya kutoa (fedha) faini hiyo mahakama ya hakimu mkazi kisutu imemrudishia fedha zake
Hoja yangu ni hapa,mwanadada huyu anakosa gani adi haukumiwe kifungo cha miaka mitatu jela au kutozwa faini,na je inawezekanaje kufanyiwa hivi?au kuna kifungu cha sheria kinayataja haya?hauruhusiwi kusafiri na fedha?au tatizo ni nini adi afanyiwe haya yote
Nawasilisha wakuu