Kamanda
Senior Member
- Dec 5, 2007
- 151
- 182
Tanzania ina vitengo viiingiii ya kufuatilia masuala ya usalama. Vipo karibu kila mahali na watendaji wake siyo lazima wajulikane.
Miongoni mwa vitengo hivyo ni kile kinachoitwa Financial Intelligence Unit (FIU), ambacho nadhani kiko chini ya Wizara ya Fedha na Mipango.
Pamoja na kwamba hakijulikani sana, lakini naambiwa kazi zake kuwa ni kufuatilia na kuchunguza fedha na mali wanazokuwa nazo wananchi, ambazo zina walakini katika upatikanaji wake.
Naomba kushauri kitu kimoja, pamoja na kazi hizo, ningependekeza FIU wapewe kazi za kufanya ujasusi wa kiuchumi; kudukua na kujua nchi nzingine zinafanyaje kuinuka kiuchumi kupitia viwanda, nguvu kazi zingine, mitaji na zaidi sana kuwa na ushawisi wa kuvuta wawekezaji wakubwa nchini.
Niko tayari kuwashauri namna ya kufanya haya yatokee.
Mnaonaje waungwana wa jukwaa hili? Ushauri wenu tafadhali ili kuboresha.