Salaam kwa mwalimu zawadi

Salaam kwa mwalimu zawadi

doppla2

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
1,393
Reaction score
1,462
Popote ulipo, mdogo wako D the great nakukumbuka.

Ulinifundisha mengi, ikiwemo jinsi ya kutongoza, kuzungumza na mwanamke na hata jinsi ya kumkumbatia msichana.

Nashukuru sijasahau darasa lako mjarabu, ambalo topic zote hapo juu ulizifundisha kwa practical, hukupenda maneno mengi ila uliamini sana katika vitendo.


Nisichoweza kusahau ile siku uliponifundisha kulamba naniii....,darasa lile limekua la msaada mkubwa sana , mpaka leo nimepewa jina jipya " wananiita mtaalamu"

Heshima kwako mwalimu, popote ulipo pokea salamu zangu.
 
Aisee! Mwalimu Zawadi alikuzawadia zawadi bomba sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom