TANZIA

TANZIA

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,523
Hivi karibuni tumempoteza Mbunge wa zamani wa Tarime Ndugu Edward Oyombe Ayilla aliyefariki majuma mawili yaliyopita.
 
Hadi wiki 2 zimepita ndo anatangazwa, atakuwa alikuwa mbunge wa Brifcase huyo.
Haya basi tuseme RIP mbunge mstaafu wa tarime .
 
Information mbona zikisambaa ling time sana. Sema mdau kachelewa kuleta..

He was a vocal Mp by then. Alikuwa moja wa G55
 
Back
Top Bottom