Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,201
Sometime Nakumbuka kulee tulipotoka,vile tulivyokuwa tunacheza pamoja, Vile tulivyokuwa tunasoma na mambo mengine mengi tuliyokuwa tunafanya pamoja,
sikuwahi kuwaza labda ipo siku tunaweza kutengana na kila mtu atatafuta Maisha kwa upande wake.
Urafiki wetu ulikuwa ni kama Ndugu wa Tumbo moja tuliishi vile tunavyotaka,tulikula kile tulichopata Hakika Nimemisi vitu vingi sana tulivyokuwa tunafanya kwa pamoja.
Naamini leo Muda ndio unaoongea Umbali uliopo haunifanyi nikakosa kumbukumbuku zilizopo moyoni mwangu i wish ipo siku tutaonana na kuungana kwa pamoja tena ila tuache kwa sasa Utafutaji wa Maisha uendelee.
Nafikiri ipo siku tutafanikiwa ......! Lets pray together.
.......