Naitaji kujuzwa kuhusu vortex

Naitaji kujuzwa kuhusu vortex

bensim

Member
Joined
Jan 19, 2018
Posts
9
Reaction score
3
Amani ya bwana iwe nanyi
Poleni na mihangaiko ya maisha ,ningependa niende moja kwa moja kwenye mada husika .Nilikuwa naitaj kuijua zaid hii taasis/kampuni ya vortex kw yoyote mweny kuijua maana nimekutan nayo huko kweny magroup y whatsup ,kwaiyo ombi lang kwa yeyote mwenye kuijua anifahamishe kuhusu wao kam ni matapel au lah.
 
Huko whatsapp wanajitangazaje!?, Vortex naowajua ni madalali wa soko la hisa DSE!
 
It's a ponzi scheme in short. Unawekeza pesa wanakupa returns in less than 6months
 
Back
Top Bottom