Stationery: Maana ya karatasi(bahasha) A4

Stationery: Maana ya karatasi(bahasha) A4

Jurrasic Park

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2013
Posts
3,833
Reaction score
6,889
Habari

Kwa wale waandishi wa barua si ajabu mshakutana na huu msamiati wa bahasha(karatasi) za A4, A5 n.k

Naomba elimu hapa kwa nini karatasi(bahasha) ziitwe A4, A5 n.k maana naskia mpaka A10
 
Back
Top Bottom