Magu kweli katunyoosha, hakuna cha dili wala madili, misheni tauni imekuwa fedheha, yale ya kusema utafute nauli tu ya kwenda tauni kurudi utakuwa umejaa mapene na hela ya kutosha msosi, nyama...
Kesi inayomkabili Shaban Hussein (Ndama mtoto wa Ng’ombe) ya makosa matano imehairishwa mpaka 12/2/2018. Wakati wa kusikiliza kesi hiyo upande wa mshtakiwa umedai unasubiri nyaraka kutoka nchini...
Mara ya Kwanza alinikuta nikiongea tena kwa kutaniana tu na Binti yake Dirishani akanionya kuwa hapendi nikamwelewa, mara ya pili tena alinikuta nikimpangusa Vumbi huyo huyo Binti yake ambalo...
Mwenyekti wa Bodi ya Parole nchini Mheshimiwa Agustino Lyatonga Mrema, amesema anaenda kufungua kesi ya madai ya mabilioni ya shilingi kwa watu waliomzushia taarifa za kifo hapo jana.
Akizungumza...
usihofu, Mungu anaweza yote, anaweza kukutoa katika hali hiyo uliyonayo sasa, hadi wale wote waliokudharau wakashangaa. download document hii, kakae usome kwa makini na Mungu atakusaidia.
Watu 3 wameripotiwa kufariki dunia na wengine 14 kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea jana majira ya saa moja jioni katika eneo la kijiji cha Simbo wilaya ya Kigoma ikihusisha gari aina ya...
Salaam hapa JF!
Nina zigo la maumivu moyoni juu ya hicho kinachoendelea Mtwara!
Habari zinasambaa kwa kasi kwamba kuna mtoto aliyezaliwa, kufumbua macho na kutoa ujumbe kwamba, kuna mvua...
Serikali imeendelea kutekeleza mikakati mbalimbali ili kuwapatia wananchi wote maji safi na salama. Imejiwekea malengo ya kuhakikisha ifikapo 2020 watu milioni 24 wapate maji ya uhakika ili...
Hukumu ya mwalimu wa sanaa ya kujihami ‘martial arts’ Salum Njwete maarufu kama Scorpion, ya kumjeruhi na kumtoboa macho kinyozi Said Mrisho leo ilishindwa kusomwa katika Makahama ya Wilaya ya...
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amepiga marufuku mwalo wa mwambao wa Kijiji cha Kirando kutumika kama bandari baada ya kufika katika mwalo huo na kukuta lori likiwa linapakua mizigo kwa...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inapenda kutoa wito kwa wamiliki wote wa vyombo vya moto kwamba kuanzia sasa, yeyote atakayepoteza kadi ya gari atatakiwa kutoa tangazo la kupotelewa kadi hiyo...
Bwana yule ndo muhasisi wa biashara ya Utumwa hapa Tz.Kwani yeye ndiye aliyekuwa kiongozi wa kwanza wa upinzani kununuliwa.Na kukimbilia Rwanda kwa ajiri ya Mapunziko ,nakufuatiwa na Dk yule...
Ofisi ya Uhamiaji mkoani Kilimanjaro imeagiza wageni 94 wasiokuwa na kibai kuondoka mara moja nchini na kurudi endapo watakamilisha taratibu za uhamiaji
Wageni hao ni wakenya 71, Wanyarwanda 7...
Jana nilikua nasikiliza redio nikasikia taarifa moja ya serikali ya Uingereza haiwatambui wakimbizi kutoka Tanzania sijajua sababu ni nini lakini si Tanzania tu kuna baadhi ya nchi nyingine kama...
Msanii wa Hip Hop nchini Rashid Makwiro 'Chid Benz anashikiliwa tena na jeshi la polisi mkoani Dodoma kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya na hii inakuwa mara ya tatu kwa msanii huyu kukumbwa...
UkitazamaTV, kusikiliza radio ama kusoma magazeti ukakutana na habari inayolihusu jeshi letu la police lazima, habari hiyo lazima itakuwa ni ya kihalifu ama kutoa makatazo ama matamko.
Mimi...
Chama hakijulkan nan kapewa ridhaa ya kuwa msemaj wa chama
Kila mtu anatafuta pa kupatia kiki ili asipotee ktk kpnd hiki cha uncle Magu
Kila mtu anataka kusemea jambo
Mwenzao kapata zali la...
Wana jamnvi
Kwanini hawa wenye makampuni kama ya TATU MZUKA... wameshindwa kuwa na link ya kulipia hela ya kucheza bila ya kupitia mitandao ya simu, maana ukilipia kwenda TATU MZUKA... lazima...