Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 6,174
- 6,338
Habari wakuu?
Hivi kweli mtu unaweza kubadilika, ama kujifunza kuwa na courage and confident?
Nimejaribu, kusoma vitabu vingi vya inspiration pamoja na motivations kibao na kuzielewa. Lakini linapokuja suala ya kutake risk ama kuwa vile, natamani kuwa yani kuact confidently na kutokuwa shyness mbele ya watu nashindwa.
Mfano napokuwa darasani, huwa natamani sana kuuliza ama kujibu lecturer akiuliza kitu chochote lakini nafsi inagoma ivo nakaa kimya tu, baadae naanza kujilaumu mi mwenyewe kutokana na hofu yangu.
Yani shida yangu mimi nashindwa kuact bodly na kuongea kwa sauti, ama kujiexpress mimi mwenyewe? Nifanyeje ili niweze kuwa vile nataka?? Nafahamu sana, wanasema
"act as you wish you were, and you will become as you act so you will become who you want to be"