WIZARA YA MADINI: Hata leseni kusambaza kokoto mmesimamisha?

KALABASH

JF-Expert Member
Jan 26, 2011
493
206
Nikiwa katika jukumu la kusikiliza kero za wananchi eneo langu ametokea mwananchi moja kulalamika kuwa ana zaidi ya miezi sita tangu amepeleka maombi ya leseni ya kusambaza kokoto( Dealers Licence) kwenye ofisi ya kanda ya madini na akalipia tsh laki nne (400,000/) kama application fees lakini mpaka leo hajapata leseni.

Akiulizia anaambiwa mtu wa ku-sign leseni hajateuliwa. Naweza kuelewa kwamba leseni za uchimbaji madini huenda zinahitaji kamati kujadili kutokana na uzito na unyeti wake. Lakini hata kusambaza komoto kunahitaji kamati? Si sawa!
 
Jana Jumatatu ameteuliwa Kamishna mpya wa Madini ambaye pia atakuwa mwenyekiti wa Tume ya Madini. Naamini ataanza kushughulikia mlundikano wa maombi ya leseni za madini.
 
Prof Manya atakuwa Kamishina wa Madini na Kaimu Mtendaji Mkuu wa Kamisheni ya Madini (Mining Commission)

Mwenyekiti wa Kamisheni na Makamshina wake bado hawajateuliwa kwa kuwa Regulations za Sheria mpya ya Madini No.7 ya mwaka 2017 bado hazijasainiwa.

Tunataraji wiki hii kufikia Ijumaa zitasainiwa ili Kamisheni ianze kazi rasmi
 
Sasa nimelewa kwa nini Rais anailalamikia hii wizara. Kwa miezi yote hiyo tangu sheria mpya ya madini ipitishwe kanuni hazijasainiwa!
 
Waziri, Naibu Waziri, Katibu Mkuu, Kamishina wa Madini, Mkurugenzi wa Sheria wote wapo

Pia Waziri wa Sheria yupo
 
Back
Top Bottom