Kwamba nchi ya Ubelgiji ndiyo nchi pekee iliyo na Madaktari hohehahe / wabovu kuliko nchi zingine zote za Ulaya? Na kwamba kuliko kumpeleka huko Mgonjwa ni kheri tu akatibiwe Muhimbili au KCMC au...
Habari wanajukwaa, Natumai mu wazima.
Naomba kuanza kwa kusema sijaleta habari za uhakika kuhusu kitabu tajwa hapo juu, ili nimepata shauku ya kuleta uzi huu ili kupata habari na uelewa au kupata...
Mnadhimu Mkuu wa kambi ya upinzani bungeni, Tundu Lissu ambaye pia ni Rais wa chama cha mawakili Tanzania (TLS) amehojiwa na kipindi cha BBC-focus on Africa juu ya hali ya kisiasa nchini na...
Tundu Lissu anaenda kulazwa Ubelgiji nchi ambayo mwanasoka wa kimataifa wa kitanzania, Mbwana Samatta anacheza soka(mpira wa muguu).
Swali ni je,mwanasoka huyu maarufu atakwenda kumuona...
Naomba niende kwenye pointi mimi kwa sasa nipo mkoani na ndipo yalipo makazi yangu, Dar hapo nimesomea na kuishi hapo kwani ndipo nilipokulia, .
kuna tofauti kubwa sana kati ya vijana wa mkoani...
Habar zenu wadau naomba kwa mdau aliye na Mbao ambazo alitumia Kuezeka zikabaki nahitaji Mbao arobaini kwa yeyote aliye nazo anitafute kwa Namba hizi 0755156747 ninaishi Goba
Hakika nimeiona faida ya kuwa ktk jamii forum nimepata msaada mkubwa na bado naombeni ushauri zaidi
Naombeni mnisaidie mchanganuo Wa kuezeka vyumba viwili idadi ya Mbao
2@2 ni ngapi
4@2 ni...
Direct to the point
Nataka kuacha kazi serikalini, niko kwenye process za ajira mpya, taasisi binafsi katika mkoa mwingine .
Ila nina mkopo unaondelea bank ya CRDB na makato mengine kama ya...
Habarini wanajf
Hatimaye tumeiona 2018 kwa kudra za Mwenyez Mungu.
Nimeuanza mwaka kwa kupiga goti na
Kumuomba Mungu aniweke mbali na hawa maadui watatu ...
1:)Pombe
2:)Wanawake
3:)Siasa...
Najiuliza maswali
Je iwapo wasanii wetu watafanya fet. na wasanii wa inje ambao wanapenda kutumia video queen wakiwa robo tatu utupu na nusu utupu, je nyimbo zao hazitapigwa bongo??
lakini zile...
?
Ndege ya shirika la ndege la Cathay Pacific
Shirika la ndege la Cathay Pacific la Hong Kong limeanzisha uchunguzi mkali kufuatia skendo kubwa lililoikumba shirika hilo la ndege baada ya...
Katika shauri lililokuwa linaendelea leo mahakama ya kisutu ambapo mahakama iliridhia watuhumiwa papa wa madawa kulevya kina Shkuba na wenzake wawili shauri lao lipelekwe nchini marekani...
Siku zote Waafrika hufanya mambo yanayofanana, hurudia makosa yale yale huku wakitegemea matokeo tofauti!
Chadema kama walivyo Waafrika wengine kama Besigye &Co. wanaamini kabisa kwamba Muzungu...
Nawasalimu wapendwa, heri ya mwaka huu! Nililipia ada ya kama sita hivi Decemba mwaka jana shule ( ) lakini nimeghairi na kumuhamishia mwanangu shule nyingine ya awali. Sasa nilipowaambia...
Wasalaam,
Nianze kuweka wazi kwamba ninachokiandika hapa kimejikita kwenye uzoefu binafsi katika maisha yangu, jamaa na rafiki zangu.
Katika jamii yetu kumekuwa na mijadala tofauti kuhusu uhusika...
Habari...
Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.
Ukiwa mfanya biashara, mfano unamiliki duka la simu, Na simu unaagiza Toka China.
Je, wakati wa kuagiza simu si kuna koda ambazo TRA watataka...
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza amesema kuwa, serikali inafuatilia kwa karibu wasanii wote wanaoweka picha za kukosa maadili kwenye mitandao na kuwachukulia...
Mwezi mmoja uliopita, Ndugu.Zakayo Chacha Wangwe (diwani wa Kata ya Turwa - Tarime mjini) aliyehamia CCM leo, aliandika maneno haya.
________________________________________________
Hakuna kitu...
Wadau wote wa
*JF
*Wana CCM
*Wazalendo
*Watanzania
Jamani poleni na pilika za siku nzima na pia nawapongexa sana kwa ushindi wa kishindo na pia natoa shukrani kwa kuunga mkono agenda yangu ya...