Kaudunde Kautwange
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 1,695
- 1,772
Habari...
Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.
Ukiwa mfanya biashara, mfano unamiliki duka la simu, Na simu unaagiza Toka China.
Je, wakati wa kuagiza simu si kuna koda ambazo TRA watataka ulipe.
Na huku kwenye biashara yako, Je si utatakiwa ulipe Kodi ya biashara yako (kumbuka biashara ni hiyo hiyo ya simu).
Je hivi ndivyo ilivyo au Mimi uelewa wangu mdogo?
Na kama ndivyo, je hii siyo double taxation kweli?
Je, Na wale ambao utakuta wanauza vitu bei sawa au karibia Na zile za mfano China, wanapataje faida as far as the same system ya Kodi niliyoelezea hapo Juu inahusika?
Ahsante, Na karibuni kwa michango.