Mzee wa hat-trick
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,730
- 2,394
Ni mara nyingi sana wanawake husikika wakisema "ngoja nimpigie boda boda wangu" na sentensi kama hizo wakimaanisha kwamba huyo ni dereva wanayemtumia mara kwa mara na anamwamini. Na wakisema hvy sometimes tunavimba na kuhoji kwanini mpaka wanapeana namba. Jibu la wengi huwa ni hilo hilo la kumwamini na kumzoea.
Ingekuwa vipi kama bodaboda nyingi zingekuwa zinaendeshwa na wanawake, je na sisi wanaume tungekuwa na namba zao sana..?? Na kama tungekuwa nazo, tungeweza kutoa jibu la kwamba namwamini na nimemzoea..??
Au mnafikiri jibu letu lingekuwaje...??