Nyoka ni marafiki zetu na sio maadui, tusiwadhuru bila ya sababu bali tujenge nao urafiki

undefine

JF-Expert Member
Nov 17, 2016
442
1,011
Ndugu zanguni kuna tabia ambayo imezoeleka miongoni mwa wengi kila waonapo nyoka wanawapiga na mawe,magongo na silaha aina yeyote ile mpaka wanawaua hata pale nyoka akiwa sehemu pekee yake ametulia bila bughudha yeyote ile ila utashangaa mtu anaanza kupiga yowe na kuita kadamnasi ya watu na kisha kumshambulia nyoka ambaye alikuwa amejituliza zake tu.

Kwanini tunawachukia kwa kiasi kikubwa nyoka?

Watu wanadai Nyoka ni adui ya binaadamu lakini tusisahau sisi ndio tunaojenga uadui nao sababu kila tukiwaona tunaanza kuwashambulia hata kama hawakuwa na kosa ya aina yeyote ile

Mfano hawa nyoka wa majumbani green snake au black snake ambao kipindi cha baridi hukimbilia majumbani kwa watu kutafuta joto.

Nakumbuka nilivyokuwa mdogo maeneo ya Mbeya hawa nyoka walikuwa na tabia ya kuingia ndani kutafuta joto na hawakuwa na nia yeyote ile mbaya lakini cha kushangaza huyo nyoka akionekana watu huanza kupiga yowe na kisha anauliwa kikatili badala ya kupewa msaada wa joto,anakimbia shida na anakutana na dhahma.

Ili kuthibitisha nyoka ni marafiki zetu na sio maadui wetu nadhani wengi ni mashahidi kuna wakati nyoka akikimbia baridi na kutafuta hifadhi yenye joto hukimbilia majumbani na wakati mwingine hujibanza karibu na mtu ,wangapi wanalala na nyoka bila ya kujijua?na wengine wakishafahamu wamelala na nyoka wakistuka wanaanza kupiga yowe kisha kumuua nyoka huyo.Inashangaza sana huyo nyoka angetaka kukudhuru basi angekudhuru kitambo sana kwani hajui kama amejibanza karibu na mtu?

Kwani harufu ya mtu haifahamu lakini kutokana hakubughudhiwa na yeye shida yake ni joto hivyo ameamua kujisogeza karibu na shuka apate joto akishapumzika anakwenda zake..lakini sie tunachowafanyia sio haki kabisa

Pia ni kesi ngapi tunashuhudia watoto wadogo wakicheza na nyoka tena muda mrefu bila kudhuriwa ,sababu haswa nyoka sio adui na mtoto hajui kudhuru

Kwa hizi sababu mbili tufahamu nyoka ni rafiki na sio adui lakini rafiki maisha yake yakiwa hatarini lazima ajilinde na njia sahihi ya kujilinda ni kushambulia

Nawasihi ndugu zangu sio kila tukimuona nyoka tunapiga mayowe na kuanza kutafuta mawe,fimbo na kuanza kuwashambulia ,sisi ndio tunawafanya wakasirike lakini nyoka ni marafiki haswa nyoka wa majumbani hawa na pale wakitafuta hifadhi ya joto tusiwadhuru

Mie hawa nyoka wamenisaidia sana kunisafishia shamba na nyumba ,wadudu kama mende ,panya na aina wafananao wameisha sababu ya hawa home snakes wana msaada sana.
 
4c34812bf794da43974194e0131b3852.jpg

Hujanishawishi na sidanganyiki mkuu mi Natamani Hata zisingelikuwepo
 
Ulichokiandika kina ukweli fulani, Kwa mfano ukiangalia jamii za kiasia Wao wanawinda kabisa tena kwa kuwakamata na nyoka wala hawawafanyi chochote.

Nadhani nyoka kukuuma anaangalia kwanza wewe una reaction gani otherwise hujaonesha reaction yoyote ya kumdhuru basi hata yeye hawezi kukudhuru.

Na ndio maana unaambiwa ukimkuta nyoka anacheza na mtoto usianze kuhangaika kumpiga wala kuanza kupiga mayowe Wewe mwache ataondoka mwenyewe.

Ila inahitaji akili sana na Ujasiri kuwasoma ili wasilete madhara.
 
Nyoka ni kiumbe kilicholaaniwa, tayari alishawekewa uadui kati yake na binadamu pale alipomdanganya Hawa kula tunda, alilaaniwa na hata Mungu alimwambia ataweka uadui kati yake na (mwanamke) binadamu, na atapondwa kichwa (nyoka) na mwanamke(binadamu) atapondwa kisigino na nyoka!
 
Ndugu zanguni kuna tabia ambayo imezoeleka miongoni mwa wengi kila waonapo nyoka wanawapiga na mawe,magongo na silaha aina yeyote ile mpaka wanawaua hata pale nyoka akiwa sehemu pekee yake ametulia bila bughudha yeyote ile ila utashangaa mtu anaanza kupiga yowe na kuita kadamnasi ya watu na kisha kumshambulia nyoka ambaye alikuwa amejituliza zake tu.

Kwanini tunawachukia kwa kiasi kikubwa nyoka?

Watu wanadai Nyoka ni adui ya binaadamu lakini tusisahau sisi ndio tunaojenga uadui nao sababu kila tukiwaona tunaanza kuwashambulia hata kama hawakuwa na kosa ya aina yeyote ile

Mfano hawa nyoka wa majumbani green snake au black snake ambao kipindi cha baridi hukimbilia majumbani kwa watu kutafuta joto.

Nakumbuka nilivyokuwa mdogo maeneo ya Mbeya hawa nyoka walikuwa na tabia ya kuingia ndani kutafuta joto na hawakuwa na nia yeyote ile mbaya lakini cha kushangaza huyo nyoka akionekana watu huanza kupiga yowe na kisha anauliwa kikatili badala ya kupewa msaada wa joto,anakimbia shida na anakutana na dhahma.

Ili kuthibitisha nyoka ni marafiki zetu na sio maadui wetu nadhani wengi ni mashahidi kuna wakati nyoka akikimbia baridi na kutafuta hifadhi yenye joto hukimbilia majumbani na wakati mwingine hujibanza karibu na mtu ,wangapi wanalala na nyoka bila ya kujijua?na wengine wakishafahamu wamelala na nyoka wakistuka wanaanza kupiga yowe kisha kumuua nyoka huyo.Inashangaza sana huyo nyoka angetaka kukudhuru basi angekudhuru kitambo sana kwani hajui kama amejibanza karibu na mtu?

Kwani harufu ya mtu haifahamu lakini kutokana hakubughudhiwa na yeye shida yake ni joto hivyo ameamua kujisogeza karibu na shuka apate joto akishapumzika anakwenda zake..lakini sie tunachowafanyia sio haki kabisa

Pia ni kesi ngapi tunashuhudia watoto wadogo wakicheza na nyoka tena muda mrefu bila kudhuriwa ,sababu haswa nyoka sio adui na mtoto hajui kudhuru

Kwa hizi sababu mbili tufahamu nyoka ni rafiki na sio adui lakini rafiki maisha yake yakiwa hatarini lazima ajilinde na njia sahihi ya kujilinda ni kushambulia

Nawasihi ndugu zangu sio kila tukimuona nyoka tunapiga mayowe na kuanza kutafuta mawe,fimbo na kuanza kuwashambulia ,sisi ndio tunawafanya wakasirike lakini nyoka ni marafiki haswa nyoka wa majumbani hawa na pale wakitafuta hifadhi ya joto tusiwadhuru

Mie hawa nyoka wamenisaidia sana kunisafishia shamba na nyumba ,wadudu kama mende ,panya na aina wafananao wameisha sababu ya hawa home snakes wana msaada sana.

Tatizo nyoka hawaminiki unaweza kumuacha siku akakudonoa nyoka kama cobra Ni mkorofi akikuona tu anakutamani.Hiki kiumbe kinatisha ukikiona tu unawaza mawe Na magongo hata kama hakina time Na wewe
 
Kwani aliye fanya Eve amuasi Mungu ninani? Na Mungu alisemaje kuhusu nyoka na Mwanadam Katika maisha yote? Mnaharibu maandko hivihivi alaf mnajiita watakatifu anyway kama mawazo ya 666 yamekupata... Mrudie Mungu kabla Trumpets hazijalia.
 
Vipi wewe umeshawahi kuwapatia joto nyoka?
Kama mazingira ya nyumba yako yanaruhusu nyoka kuingia ndani basi una mazingira mabovu
Wewe ukihitaji joto unaenda kulipata wapi?
Nyoka ni nyoka tu hata kama mtoto
Kila kiumbe kina mazingira yake mkuu, nyoka porini, samaki majini na binadamu.......
Kama wewe si mwanafunzi ambae ni First year wa course za Environmental muhusika wa flora na fauna, basi utakuwa na undugu na wanamazingaombwe
Nyoka ni adui hata mafundisho ya dini yanasema hivyo
Binafsi nikiua nyoka napata thawabu na nikimalizia na kukitenganisha kichwa na kiwiliwili chake ndio maradufu
 
Nyoka ni kiumbe kilicholaaniwa, tayari alishawekewa uadui kati yake na binadamu pale alipomdanganya Hawa kula tunda, alilaaniwa na hata Mungu alimwambia ataweka uadui kati yake na (mwanamke) binadamu, na atapondwa kichwa (nyoka) na mwanamke(binadamu) atapondwa kisigino na nyoka!
Mkuu nyoka hana uwezo wa kuzungumza wala kushawishi

Hivi ni iblisi aliyemshawishi Adam au nyoka?

Nyoka ndio amwambie adamu sijui ale tunda ataishi milele khaa

Mnawaonea nyoka wa watu sana

Nyoka ni reptile kama wanyama wengine ,tatizo mnaanza kuwasingizia sijui wana laana ,nyoka wa watu hajui A wala Z

Tactic mpe jina baya mbwa ndio umuue ndio inayotumika kwa nyoka
 
Ndugu zanguni kuna tabia ambayo imezoeleka miongoni mwa wengi kila waonapo nyoka wanawapiga na mawe,magongo na silaha aina yeyote ile mpaka wanawaua hata pale nyoka akiwa sehemu pekee yake ametulia bila bughudha yeyote ile ila utashangaa mtu anaanza kupiga yowe na kuita kadamnasi ya watu na kisha kumshambulia nyoka ambaye alikuwa amejituliza zake tu.

Kwanini tunawachukia kwa kiasi kikubwa nyoka?

Watu wanadai Nyoka ni adui ya binaadamu lakini tusisahau sisi ndio tunaojenga uadui nao sababu kila tukiwaona tunaanza kuwashambulia hata kama hawakuwa na kosa ya aina yeyote ile

Mfano hawa nyoka wa majumbani green snake au black snake ambao kipindi cha baridi hukimbilia majumbani kwa watu kutafuta joto.

Nakumbuka nilivyokuwa mdogo maeneo ya Mbeya hawa nyoka walikuwa na tabia ya kuingia ndani kutafuta joto na hawakuwa na nia yeyote ile mbaya lakini cha kushangaza huyo nyoka akionekana watu huanza kupiga yowe na kisha anauliwa kikatili badala ya kupewa msaada wa joto,anakimbia shida na anakutana na dhahma.

Ili kuthibitisha nyoka ni marafiki zetu na sio maadui wetu nadhani wengi ni mashahidi kuna wakati nyoka akikimbia baridi na kutafuta hifadhi yenye joto hukimbilia majumbani na wakati mwingine hujibanza karibu na mtu ,wangapi wanalala na nyoka bila ya kujijua?na wengine wakishafahamu wamelala na nyoka wakistuka wanaanza kupiga yowe kisha kumuua nyoka huyo.Inashangaza sana huyo nyoka angetaka kukudhuru basi angekudhuru kitambo sana kwani hajui kama amejibanza karibu na mtu?

Kwani harufu ya mtu haifahamu lakini kutokana hakubughudhiwa na yeye shida yake ni joto hivyo ameamua kujisogeza karibu na shuka apate joto akishapumzika anakwenda zake..lakini sie tunachowafanyia sio haki kabisa

Pia ni kesi ngapi tunashuhudia watoto wadogo wakicheza na nyoka tena muda mrefu bila kudhuriwa ,sababu haswa nyoka sio adui na mtoto hajui kudhuru

Kwa hizi sababu mbili tufahamu nyoka ni rafiki na sio adui lakini rafiki maisha yake yakiwa hatarini lazima ajilinde na njia sahihi ya kujilinda ni kushambulia

Nawasihi ndugu zangu sio kila tukimuona nyoka tunapiga mayowe na kuanza kutafuta mawe,fimbo na kuanza kuwashambulia ,sisi ndio tunawafanya wakasirike lakini nyoka ni marafiki haswa nyoka wa majumbani hawa na pale wakitafuta hifadhi ya joto tusiwadhuru

Mie hawa nyoka wamenisaidia sana kunisafishia shamba na nyumba ,wadudu kama mende ,panya na aina wafananao wameisha sababu ya hawa home snakes wana msaada sana.
Angekuwa akikuuma hana madhara yeyote nadhan ningeungana na wewe 100% lakin kutokana na balaa lake aisee ntamtafuta hata kwenye shimo lake huko ilimradi afe.
 
Tatizo nyoka hawaminiki unaweza kumuacha siku akakudonoa nyoka kama cobra Ni mkorofi akikuona tu anakutamani.Hiki kiumbe kinatisha ukikiona tu unawaza mawe Na magongo hata kama hakina time Na wewe
Nyoka wakorofi kama cobra na black mamba huwa hawana time na mtu na hata ukiwafuata hugeuza njia na kusepa

Tatizo ukim-confront uso kwa uso na hana sehemu ya kipita ndio atataka akudonoe aondoke ,hawa nyoka wawili hawapendi bughudha labda umkanyage au umsumbue
 
Kwani aliye fanya Eve amuasi Mungu ninani? Na Mungu alisemaje kuhusu nyoka na Mwanadam Katika maisha yote? Mnaharibu maandko hivihivi alaf mnajiita watakatifu anyway kama mawazo ya 666 yamekupata... Mrudie Mungu kabla Trumpets hazijalia.
Ni iblisi na sio nyoka

Nyoka hana uwezo huo ,nyoka ni reptile na mnyama kama mnyama mwingine hana kipawa au akili ya kuzungumza au kushawishi
 
Mkuu nyoka hana uwezo wa kuzungumza wala kushawishi

Hivi ni iblisi aliyemshawishi Adam au nyoka?

Nyoka ndio amwambie adamu sijui ale tunda ataishi milele khaa

Mnawaonea nyoka wa watu sana

Nyoka ni reptile kama wanyama wengine ,tatizo mnaanza kuwasingizia sijui wana laana ,nyoka wa watu hajui A wala Z

Tactic mpe jina baya mbwa ndio umuue ndio inayotumika kwa nyoka
Kumbe nyoka wa watu!!! aaahhh
 
Angekuwa akikuuma hana madhara yeyote nadhan ningeungana na wewe 100% lakin kutokana na balaa lake aisee ntamtafuta hata kwenye shimo lake huko ilimradi afe.
Nyoka wapo wa aina nyingi

Home snakes hawana madhara

Na nyoka wenye madhara kama black mamba,cobra huwa wakimuona mtu husepa zake hawapendi bughudha ila ukimfuata kumsumbua atatafuta njia ya kuondoka na akikosa atakushambulia na akikupata ndani ya 5mins unakufa
 
Nyoka wakorofi kama cobra na black mamba huwa hawana time na mtu na hata ukiwafuata hugeuza njia na kusepa

Tatizo ukim-confront uso kwa uso na hana sehemu ya kipita ndio atataka akudonoe aondoke ,hawa nyoka wawili hawapendi bughudha labda umkanyage au umsumbue

Si kweli kwa cobra labda uniambie black mamba unadhani kwanini cobra akikuona anasimama pale hata kama unapita tu anasimama Na anaweza kukutemea mate Ni nyoka ambaye Ni aggressive.Google uone Ni watu wangapi wanafariki India kila mwaka kwa kugongwa Na Kobra Ni maelfu.Tena kule wana king Kobra.SIdhani kama hawa wahindi wote wanagongwa Na Kobra baada ya kuwakanyaga au kuwachokoza
 
Nyoka wapo wa aina nyingi

Home snakes hawana madhara

Na nyoka wenye madhara kama black mamba,cobra huwa wakimuona mtu husepa zake hawapendi bughudha ila ukimfuata kumsumbua atatafuta njia ya kuondoka na akikosa atakushambulia na akikupata ndani ya 5mins unakufa
Hapana mkuu pamoja na ushawishi wako ulio tukuka lakin kwangu mimi hao viumbe hapana yaani akionekana tu popote hata kama ni njian na deal naye aisee
 
Mkuu unazungumzia nyoka yupi huyo maana naona hata BWANA MUNGU alimlaani huyo unayemtetea.

REJEA MWANZO 3:14-15
 
Back
Top Bottom