Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,709
- 1,735
Wakuu, imekuwa kawaida ya kuona kwenye televishen viongozi wetu wakichoma mimea ya bangi kwa moto. Ukweli mie mtindo huu hunikera mno hasa ukuzingatia uharibifu wa mazingira na hali ya hewa.
Moto unaunguza baadhi ya viumbe wengi tu aridhini bila hatia yoyote na kuongeza hewa sumu angani, ni ombi langu kutafutwe namna mbadala wa shughuri hiyo.
Moto unaunguza baadhi ya viumbe wengi tu aridhini bila hatia yoyote na kuongeza hewa sumu angani, ni ombi langu kutafutwe namna mbadala wa shughuri hiyo.