ggenerale
JF-Expert Member
- Jan 20, 2018
- 202
- 412
Bandugu, kama kichwa kisemavyo, ninaamini kuna wenzangu wengi ambao huwa tunakutana na kero mbali mbali kwenye mizunguko yetu ya kila siku, either ziwe za kijamii au vyovyote vile lakini huwa hatuna sehemu ya kupeleka mawazo yetu au ku share tu na watu kwa nia ya kushauri utatuzi au uboreshaji wake, mf
Mimi huwa ninakereka sana hawa jamaa wanaotujengea barabara zetu mijini alaf unakuta barabara bado mpya kabisa, then wehu wa dawasco wanakuja wanabomoa barabara ili waweke bomba la maji, hivi hawajawahi kufikira labda wanapojenga barabara wangeweka standars kuwa kila baada ya mita 100 au 200 wangeweka matobo makubwa au mitaro ambayo ingezuia kubomoa bomoa barabara na kutujazia miviraka kwenye barabara za mitaani?