Shinbet18
JF-Expert Member
- Jan 17, 2018
- 255
- 264
Una pata misiba mizito katika familia na ukoo mpaka kichwa kinawaka moto. Inafikia mahali ukisikia mtu kafa unaagiza castle unashusha pumzi na fegi mdomoni. Daaa! Mida hii amefariki fundi wangu wa nyumba alikuwa zaidi ya fundi kafa ghafla kwa ajali ya pikipiki.